Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
Kwani wanaolipa au kutoa ruzuku si wapo? Wajitokeze na vielelezo vya uhakika kuwa wamemlipa Mbowe badala ya CDM. Mbona watu wanapiga ramli?
 
Nauliza hela za kulipa pango za ofisi wanapata wapi wakati cjadema haina mradi hata mmoja tanzania
Ungekuwa na japo tone la busara, ungehakikisha unamfahamu kwanza 'mwenye' hiyo nyumba halafu ndio uje na swali hilo.
 
Mbowe anasema kama yeye ni mchafu kama maccm yanavyotaka kuaminisha watu basi kipindi cha Mwendazake mahakama zingekuwa zimeshamuhukumu kwa ubadhirifu au rushwa?
 
whats your education level
 
Back
Top Bottom