Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hilo wewe linakuuma? Mbona nyie mlikuwa misukule wa JIWE na hatukusema?Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Basi tukiwaambia mwamba anakula ruzuku kaeni kimyaKwa hiyo hilo wewe linakuuma? Mbona nyie mlikuwa misukule wa JIWE na hatukusema?
Mbona hata JIWE alikula 1.5T. Unajifanya kusahau wakati CAG Musa Assad alipohoji tu hizo fedha akafukuzwa kazi. Hivi kuna watu wezi zaidi ya wana CCM?Basi tukiwaambia mwamba anakula ruzuku kaeni kimya
Cdm kama Chama kinaweza kweli kuwa tawi la ccm, lakini sisi wafuasi wa cdm sio tawi la ccm. Hizo story za kwamba huwezi kukitoa chama kilicho madarakani mnapigiana hapo kwenye ofisi za ccm. Hao wananchi mbona wameshaamua, bali matumizi ya muda ya vyombo vya dola ndio vinaibeba Ccm.
Hiyo inahalalisha uwizi wa Mbowe wa ruzuku?Mbona hata JIWE alikula 1.5T. Unajifanya kusahau wakati CAG Musa Assad alipohoji tu hizo fedha akafukuzwa kazi. Hivi kuna watu wezi zaidi ya wana CCM?
Nakushangaa wewe kukomalia ruzuku eti anakula Mbowe, acha ale. Kama una uchungu wa fedha za nchi si ungehoji 1.5T?Hiyo inahalalisha uwizi wa Mbowe wa ruzuku?
wananchi wangeamua then ccm ingekua ishaachia ofisi mapema sana, au umaanisha hawa ndo walioamua
View attachment 1799471
Kwani ruzuku siyo fedha za nchi?Nakushangaa wewe kukomalia ruzuku eti anakula Mbowe, acha ale. Kama una uchungu wa fedha za nchi si ungehoji 1.5T?
Ni bora usimamie unachokiamini hata kama utalala na njaaPoleni kwa mateso! Ruzuku mnaitaka lakini haichukuliki! Ukiichukuà maanà yake unawatambuà wabunge wako ¹19! Uñaishia kusemà sizitaki mbichi hizi! Ilà Igandu mbabe sio mchezo!!
Ile tayar ni taasisi ina wadhamini na wananchi wanaichangia chadema, refer kesi ya akina Mbowe lile jax lilivyochangishwa chaap nchi nzima.Nauliza hela za kulipa pango za ofisi wanapata wapi wakati cjadema haina mradi hata mmoja tanzania
CHADEMA IKO IMARAMbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Mkuu pamoja na kua umejitutumua sana kukoment ila bado hujatoa facts yoyote hapa zaid ya kuonyesha chuki personalRuzuku ya kazi gani nyie kwa kiti kimoja cha jimbo? Mnajidai kujipuliza upepe kua puto wakati ni upepo tu? Chadema iache vitisha na kujitutumua kwa sababu kimekwisha kisiasa. Waache kutoa cheche za upepo maana haziwashi moto popote😂😂
Ila at the end of the day ukwel unakua obvious, so hata hilo kama una shaka nalo kila kitu kitakua wazi itajulikanakwa wanasiasa huo wanaongea uongo kwa siri, check this : "MWESHIWA RAISI YUPO ANACHAPAKAZI" apo vp
Bandika hapo vielelezo basi uaminikeBasi tukiwaambia mwamba anakula ruzuku kaeni kimya
u cant train them for that🤣🤣
Ila at the end of the day ukwel unakua obvious, so hata hilo kama una shaka nalo kila kitu kitakua wazi itajulikana
Nduuu gayi atuelezee anakopeleka hizo fedha... kama ni kwa wale covid19 au Bahi...