Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Sasa watoa ruzuku si waje waseme in public mkuu. JPM alikua mwaribifu tu
Yani waje watangaze ili iweje sasa?

Wao wanatimiza wajibu wao wa kisheria, wakishatimiza hawana haja ya kuja kujibizana na wajinga wanaoibiwa na Mbowe
 
Mnakataa ruzuku je watwambie chama ni miradi gani na fedha za kulipa kodi za ofisi nmnapata wapi ?
waongo ruzuku wana chukuwa ukiwabana watasema wananchi wanajitoleaga kuwalipia kama walivyodanganya uma wamechangiwa hela za kulipa faini wasiende jela kumbe Mbowe katoa hela yake.
 
Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Lazima uwe mwendawazimu kufikiria CHADEMA wapokee ruzuku, waseme hawapokei, halafu Serikali ya CCM ikae kimya!
 
Lazima uwe mwendawazimu kufikiria CHADEMA wapokee ruzuku, waseme hawapokei, halafu Serikali ya CCM ikae kimya!
Hii michezo wewe huijui maana uko nje ya wakati
 
acha ushamba wewe unaweza kuweka evidence kuwa hafaidiki nao?
Haya ni majibu ya asiesimamia anachokiamini, ume claims nikaomba ushahid, ni vzr ukalifanyia kaz ombi lang la evidence then omba nawew evidence ntakuletea hapa.
 
maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
Na Lissu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.!
Kwa kauli hizi Mungu hawezi kuwa upande wao.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
Aliye Sema suala la kupimwa akili ni Msigwa, siyo Mbowe!
 
Ngoja tuwasikie na upande wa pili watoa rudhuku watuthibitishie pesa zilizoingizwa kwenye akaunti ya chama zilirudishwa?

Wakati unaendelea kusubiri hilo, sisi tunachangishana buku buku kujenga ofisi. Ccm ilikosea sana kuiacha cdm kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa imani. Kwa sasa cdm inaweza kujiendesha kwa kutegemea wafuasi wake, na sio huo mtego wa ccm wa ruzuku. Na chama kinapofikia hapo huwezi kukiua kwa nguvu za dola.
 
Sema tatizo hizo claims hazina evidence but Mbowe anaongea public tena kwa kujiamin, huez ona yupo sahihi?

kwa wanasiasa huo wanaongea uongo kwa siri, check this : "MWESHIWA RAISI YUPO ANACHAPAKAZI" apo vp
 
Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule

Uzuri sasa hivi kila kitu kiko wazi, ww weka ushahidi wa Mbowe kuchukua hiyo ruzuku ili aaibike.
 
Back
Top Bottom