Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
wengi humu hawana evidence. wanajib kisiasa au kutokana na story za kusadikika. ndio maana ukiuliza evidence wanasepaNdio tunataka evidence anazimezaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengi humu hawana evidence. wanajib kisiasa au kutokana na story za kusadikika. ndio maana ukiuliza evidence wanasepaNdio tunataka evidence anazimezaje?
Exactlywengi humu hawana evidence. wanajib kisiasa au kutokana na story za kusadikika. ndio maana ukiuliza evidence wanasepa
Ni hivi , vyama vyenye haki ya kupata ruzuku hutakiwa kupeleka namba ya akaunti ya benki iliyothibitishwa na baraza la wadhamini kwa Msajili wa vyama vya siasa , hili hufanyika kila baada ya uchaguzi mkuu kwisha , kwenye akaunti hiyo ndiyo huwekwa hela za ruzuku , Chadema wala baraza lake la wadhamini hawakuwahi kumpatia Mutungi akaunti mpya ya chama , hizo hela kaweka wapi ?Ngoja tuwasikie na upande wa pili watoa rudhuku watuthibitishie pesa zilizoingizwa kwenye akaunti ya chama zilirudishwa?
Wanafunzi unaowafundisha watafeli wote , wewe ni mwalimu duniChama cha dicteta na matapeli
[emoji23][emoji23][emoji23]Utapanic sana Mbowe ndio hata akijibebea mi ruzuku yote wewe huna la kumfanyaMisukule ipo CCM mumekabidhi akili zenu kwa dhalim na kaenda nazo jehanam mumebakishiwa mafuvu na makamasi ndani yake.
Sasa wewe ulitaka wakutangazie kama wamempa Mutungi account?Ni hivi , vyama vyenye haki ya kupata ruzuku hutakiwa kupeleka namba ya akaunti ya benki iliyothibitishwa na baraza la wadhamini kwa Msajili wa vyama vya siasa , hili hufanyika kila baada ya uchaguzi mkuu kwisha , kwenye akaunti hiyo ndiyo huwekwa hela za ruzuku , Chadema wala baraza lake la wadhamini hawakuwahi kumpatia Mutungi akaunti mpya ya chama , hizo hela kaweka wapi ?
Kama Mbowe Mwongo Serikali ingekazia siku nyingi sana hili suala. Kwa kuwa NAO wamechuna n mfumo umechange tenhya mambo ni Mazito. Wanaume wamekazamaybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
Kama ni hivyo basi mna serikali legevu na dhaifu kama Mbowe anajichukulia hela za Serikali hivyo na bado yuko uraiani basi ameiweka Serikali mfukoni kwake. Wakati mwingine unatokwa na povu ukiamini unaitetea Serikali kumbe unaitukanisha,upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Utapanic sana Mbowe ndio hata akijibebea mi ruzuku yote wewe huna la kumfanya
huna hoja kijanaSasa wewe ulitaka wakutangazie kama wamempa Mutungi account?
Ameshapigwa chanjo barakoa ya ninHana barakoa
Umemjibu vizuri sana mkuu.Mzee hii ni kwa wasioamin kwamba CDM hawapokei ruzuku, wao wanaamin mbowe yupo kama mla ruzuku so huu ni uzi wao kama conf. Unaeza pita tu kimya kimya kama huna la kuchangia
Anachukua kisheria ila akija kwa misukule yake anasema hatuchukui maana hatutambui uchaguziKama ni hivyo basi mna serikali legevu na dhaifu kama Mbowe anajichukulia hela za Serikali hivyo na bado yuko uraiani basi ameiweka Serikali mfukoni kwake. Wakati mwingine unatokwa na povu ukiamini unaitetea Serikali kumbe unaitukanisha,upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Mkuu unajua maana ya siasa?? Duniani kote siasa IPO hivyo its game of chance sasa wewe ulitaka ile 2015 wasimuchukue Lowassa vile viti 100 wangepata wapi?? Hamna ukweli wowote unaweza patakana kwenye siasa na kwa wanasiasa kwa muda wrote.maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
Usahihi wewe ndiye msukule. Mbowe anaongea kwenye public kwamba hawachukui ruzuku, kwanini wasithibitishe kama wanampa na anapokea?Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Bado unayaamini makanisa na misikiti? Hebu mwangalia Sheke wa mkoa wa Dar es Salaam na baadhi ya maaskofu! Bora hata wanasiasa wa aina ya Mbowe!Mkuu unajua maana ya siasa?? Duniani kote siasa IPO hivyo its game of chance sasa wewe ulitaka ile 2015 wasimuchukue Lowassa vile viti 100 wangepata wapi?? Hamna ukweli wowote unaweza patakana kwenye siasa na kwa wanasiasa kwa muda wrote.
Ukitaka matamko ya ukweli utayapata kwenye makanisa na misikitini.
Nashukur mkuu kwa ulichoandika, lkn mimi nilikuwa namjibu jamaa mmoja hapo juu ambae anaonekana kuamini mia kwa mia yanayosemwa au kuandikwa na mwanasiasa/wanasiasa.Mkuu unajua maana ya siasa?? Duniani kote siasa IPO hivyo its game of chance sasa wewe ulitaka ile 2015 wasimuchukue Lowassa vile viti 100 wangepata wapi?? Hamna ukweli wowote unaweza patakana kwenye siasa na kwa wanasiasa kwa muda wrote.
Ukitaka matamko ya ukweli utayapata kwenye makanisa na misikitini.