stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Wakati unaendelea kusubiri hilo, sisi tunachangishana buku buku kujenga ofisi. Ccm ilikosea sana kuiacha cdm kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa imani. Kwa sasa cdm inaweza kujiendesha kwa kutegemea wafuasi wake, na sio huo mtego wa ccm wa ruzuku. Na chama kinapofikia hapo huwezi kukiua kwa nguvu za dola.
waulize nccr watakupa taarifa nzuri, huezi endesha chama bila support ya serikali ilopo mdarakani, kama bashiru alivowaambia anaweza kutumia dakika 15 tu kusambaratisha chadema vipisi vipisi