Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
 
Sema tatizo hizo claims hazina evidence but Mbowe anaongea public tena kwa kujiamin, huez ona yupo sahihi?
maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kitu pekee ninachokiamini kutoka mdomoni mwa Mbowe ni pale anapowambia wanachadema Peoplezzzzzzzzzzzzzzz bila ya kujua wanaibiwa wanaitikia pawerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kitu pekee ninachokiamini kutoka mdomoni mwa Mbowe ni pale anapowambia wanachadema Peoplezzzzzzzzzzzzzzz bila ya kujua wanaibiwa wanaitikia pawerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Ndilo hilo tunataka evidence wanaibiwaje??
 
Hizo ni political games zipo popote hata CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…