Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Familia wameshindwa kitumia busara …kuwapa ACT Nafasi ya kutoa pole kama Chama mshirika kwenye SMZ?Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatukuza uarabu, eti anaitwa ustaadh aboubakar! Ujinga tuu mbona Duni alipokuwa mgombea mwenza hawakumuita Mathayo?
Huo ni uthibitisho wa yeye kutafuna ruzuku, siyo kuonwa na marehemu.Marehemu huwa hawaoni mikono inayopungwa
Acha udini weweAnatukuza uarabu, eti anaitwa ustaadh aboubakar! Ujinga tuu mbona Duni alipokuwa mgombea mwenza hawakumuita Mathayo?
Sijui lolote kwenye hiloFamilia wameshindwa kitumia busara …kuwapa ACT Nafasi ya kutoa pole kama Chama mshirika kwenye SMZ?
UUNGWANA NI VITENDOMwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097
Hujamuona yule kiongozi wa vyama vya siasa aliyetoa salamu kwa niaba ya vyama vyote vya siasa ni ACT WazalendoFamilia wameshindwa kitumia busara …kuwapa ACT Nafasi ya kutoa pole kama Chama mshirika kwenye SMZ?
Sijui TADEA Yule …..Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar anatoka Chama washirika kwenye SMZ huwezi kumuweka Kandi kama tunahubiri maridhiano …au ashindwe hata kufika MangapwaniHujamuona yule kiongozi wa vyama vya siasa aliyetoa salamu kwa niaba ya vyama vyote vya siasa ni ACT Wazalendo
Saccos ya mzee Mbowe watanuna hatariiiHujamuona yule kiongozi wa vyama vya siasa aliyetoa salamu kwa niaba ya vyama vyote vya siasa ni ACT Wazalendo
Sidhani , wanamuogopa sana !Hivi Mwamba atapewa Podium ateme Chehe kama ilivyokuwa Monduli.
Wewe umenielewa, kuna wajinga wanaamini Mbowe anamaanisha kumbe ni mzaha tu kitu ambacho hakifaiAnatukuza uarabu, eti anaitwa ustaadh aboubakar! Ujinga tuu mbona Duni alipokuwa mgombea mwenza hawakumuita Mathayo?
Wee jamaa bila Shaka utakuwa mshamba sana ! yaani kushangaa kanzu kwa watu wa Dar unaonyesha utakuwa mtu duni usiyejua chochote kileWewe umenielewa, kuna wajinga wanaamini Mbowe anamaanisha kumbe ni mzaha tu kitu ambacho hakifai
Ukitaka matusi na kashfa nikupe taarifa mimi ndiye niliyempa shetani mapendekezo ya matusi mazito.Wee jamaa bila Shaka utakuwa mshamba sana ! yaani kushangaa kanzu kwa watu wa Dar unaonyesha utakuwa mtu duni usiyejua chochote kile
Pole sana
Hakuna ulazima, ni kuheshimu utamaduni wa watu tu.Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂
Umejibu kiutu uzima sana, una akili njema.Hakuna ulazima, ni kuheshimu utamaduni wa watu tu.
Hata mimi nilivyoenda Zanzibar kwenye kisomo nilivaa kanzu na kofia ingawa nilipopewa kitabu nilitoa udhuru mimi Komredi.
Halafu nilivyoenda Wall St nilivaa suti.
When in Rome, do as Romans.
Mbona Marais au viongozi wa Marekani wakienda uarabuni huwa hawavai kanzu na baraghashia ?!Hakuna ulazima, ni kuheshimu utamaduni wa watu tu.
Hata mimi nilivyoenda Zanzibar kwenye kisomo nilivaa kanzu na kofia ingawa nilipopewa kitabu nilitoa udhuru mimi Komredi.
Halafu nilivyoenda Wall St nilivaa suti.
When in Rome, do as Romans.
Ukienda Roma ishi kama Waroma.Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂