LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umeandika maneno meeeeengi kutoa taarifa ya kukamatwa tu lakini hujasema kisa cha kukamatwa ni kipi?
 
Tupia.kapicha tafadhali
 
kumbe walikuwa wanapita tuu, na sio kwamba waliweka mkutano?
 
labda itakuwa ni oda kuwa popote atakapopita Mbowe na kundi lake wale kichapo tu, sasa mtu anajipitia tu, Mlowo mmemzuia anaenda zake Halungu mnamfuata tena
 
Nachukua nafasi hii kulaani tukio hili haramu.
 
Usipotii Sheria utapigwa tu na kama amekaidi hao mapolisi wahakikishe anatumia magongo maisha yake yaliyobaki tunahitaji siasa safi za kistaarabu
Hayo magongo na siasa safi za kistaarabu mbona vinapingana?
 
amewaelekeza tu kwamba njooni mnikamate ili utengeneza story na kupoteza wabongolala maboya. hapo chadema wataishia kujadili kukamatwa kwake badala ya kuongelea mambo ya msingi. wengi tumesoma cuba alafu mnafikiri tunadanganyika kirahisi.
 

Drama za polisi na mbowe tumezizoea
 
Sasa hivi mkuu wa nchi ni PT, kwasababu Jeshi la polisi linachofanya ni tofauti na anayoyasema mama Samia, tusipoangalia Wambura anaweza kujwitalia nchi hivi hivi na CCM tukabaki hatuna chetu 😭😭.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…