LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
haya waliyafanya makaburu huko south africa , ccmu wanàyarudia karne ya 21
Wanafanya siasa za hovyo zilizopitwa na wakati. Watakuja kujikuta hawakubaliki kwa umma, ila kwa machawa wao tu
 
Ni upuuzi tupu.

Chadema tambueni kwamba mpo vitani, kulalamika tu kwa maneno matupu haitwasaidia kitu. Chukueni hatua madhubuti ili kukomesha udhalimu huo mnaofanyiwa, tumechoka kusikia malalamiko yenu ya maneno matupu miaka yote.
Ikiwa Kama Ccm inatumia majeshi yake ya Polisi na Tiss, Je, na nyinyi nao mnashindwa Nini kutumia ya kwenu???


"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."

Dr. Martin Luther King Jr.
 
Ushauri wako umepokelewa
 
Walikua wanafanya nini msituni?

Huyo ligwenya na adamoo ndo wale makomando?
 
What goes around comes around, endelea kuchekelea ujinga ukidhani uko salama

Shetani hana rafiki
Washughulikiwe sinaga huruma na wanasiasa,hata nyie mkishika Dola ndivyo mtawafanya so wawashughulikie kabla hayajawakuta wao 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…