LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hivi mbowe ataendelea kukamatwa mpaka lini. Wakati huu ni wa kampeni si.wakati wa police kuzuia kampeni.

Ccm wanafanya kampeni mpaka ngoma.wanacheza mitaani.

Zile 4 R zinaeleweka kwa upande wa polisi au hazijawafikia. Tumeona kariakoo wamejivuta kwenda kuokoa watu lakini wakisikia chadema mbio.

Hii nchi wengi wana matatizo ya akili walahi
 

CHURA pamoja na kuwa ni KIZIWI lakini bado anaona.
 
Siku huku wanapiga muziki mkubwa utafikiri ni kampeni ya kuwachagua Wabunge,Madiwani na Rais kumbe ni wenyeviti wa mitaa.Yaani ccm wao wakifanya hivyo ni halali chama kingine kikifanya hivyo kinavuruga amani ya nchi.
 
ni muhimu sana wakakamatwa na kuwajibishwa ipasavyo ili iwe fundisho kwa makaidi wengine, ikiwa wamevuruga utaratibu wa kampeni na ratiba ambayo jeshi la Polisi tayari wanayo..

hata hivyo, jambo la maana zaidi ni afadhali kupoteza simu na fedha kuliko poteza maisha ya hao waleta fujo na vurugu.

Ni muhimu wazingatie ratiba inayofahamika. Kinyume cha hapo ni fujo na vurugu 🐒
 
Moja kati ya kazi ya kisenge niliyowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,nashukuru Mungu niliacha baada ya kuchoka na mambo ya kisenge kisenge
 
Siku nchini ikiingia kwenye umwagaji damu, ipo kwenye civil war hao unawashangilia CCM ,watakuwa wamepanda jet kukimbia nchi kwa kwa ujinga waliosababisha wenyewe ndipo utaelewa maana ya ujinga ulio comment.
Jifunze kutafakari ubaya wa haki za kisiasa zinavyovurugwa.

Mmeandikisha watoto,mmekata wagombea wa upinzani!!!

Mmeona haitoshi mmeamua kuvuruga mikutano na kuwakamata Viongozi.

Hii ni dalili kuwa CCM, imeshindwa, uchaguzi wa serikali za mitaa, Naona mwakani uchaguzi mkuu, mambo yatakuwa mabaya zaidi.

MWANAMKE AMEAMUA KUWA KATILI ILI ABAKI MADARAKANI KWA GHARAMA YOYOTE ILE.

Shime Watanzania tuangane kwa UMOJA wetu, kwa maslahi ya Taifa letu, tuzuie kumrudisha huyu MZANZIBARI madarakani anataka kuitumbukiza nchi yetu shimoni.

Mzee Jakaya Kikwete mbona upo kimyaa?? Mpe shule namna ulivyoongoza nchi ukiwa na wabunge wa upinzani bungeni,namna ulivyovumilia uhuru wa vyombo vya habari.

Please Mzee JK mambo yameanza kuharibika, "SASA NA KATIKATI ULOSEMA IMEANZA TAYARI"

Nakulilia 😭😭Tanzania ilijengwa na wenye moyo na inaharibiwa na wenye choyo"
SUGU.

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania kwanza , Samia baadae.
 
CHADEMA ni wapumbavu. Hayo mazungumzo yasiyokuwa na kibali cha polisi ni uvunjifu wa amani. ACT ndo wanatoa vibali vya mikutano siku hizi? Waache utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…