Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu vipi , unaumia ukiwa wapi? Au uko Isanjandugu?
 
Mbowe kama Ibenge tu
Umenikumbusha ile $500,000 Ibenge aliyovuta toka kwa GSM kuwapa kikosi cha pili lakini akijua kuwa hawaendi popote. Umetoa ulinganisho mzuri sana kuanzia leo Mbowe nitamuita Ibenge. You made my day 😄😄😄
 
mbowe pamoja na kuinama vile wakati wakuomba kura ....amepata hola
 
Hongera Sana Tundu Lissu Kwa ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…