Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio kwa ubaya ila yeyote atakayekaa pale juu, kuna wa juu yake zaidi atakayemfanya kuchukiwa na hawa hawa wenye matumaini chanya kwa sasa!

Labda pengine wameona Mbowe anafaa kugombea uraisi ndo maana wamemtoa kwenye uenyekiti; kitu ambacho itakuwa ngumu kumnadi kwakuwa wajumbe wamemtema!

Vyovyote vile, mihemko ndo imemuweka Lisu madarakani, wazaramo wanasema sijui, zitendwa mbali, zirongwa mbali.
- Lisu alifaa kuwa MWENEZI, wangetafuta mtu wa kumbadili Mbowe ila sio Lisu.
Mkuu vipi , unaumia ukiwa wapi? Au uko Isanjandugu?
 
Mbowe kama Ibenge tu
Umenikumbusha ile $500,000 Ibenge aliyovuta toka kwa GSM kuwapa kikosi cha pili lakini akijua kuwa hawaendi popote. Umetoa ulinganisho mzuri sana kuanzia leo Mbowe nitamuita Ibenge. You made my day 😄😄😄
 
1737530456993.png
 
Hongera Sana Tundu Lissu Kwa ushindi.
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.

View attachment 3209693
 
Back
Top Bottom