Wachawi walishakufaSisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Sisi tunakwenda na Lissu,tumechoka dharau za Samia,JK na Yusuf Makamba.Hahaha, mmeletewa yule mzee alitoroka kutoka msituni.. mtaweza moto wa Lissu..ni ginja ginja,hakuna kupoa
A very clever move from Lisu. Mchawi mpe mwana alee.LEMA ni kiongozi mzuri.
Aliweka pembeni undugu, ukabila, ukanda.. kwa maslahi ya Chama na taifa
HahahaLucas Mwashambwa anabubujikwa machozi ya furaha kama kamwagiwa pilipili 😁😁😁😁
Kwanini Chief wasema hivo!😂😂CHADEMA kila la kheri, bila Mbowe hiki Chama kinaenda kuwa kama NCCR Mageuzi au TLP, within 1 year only, CHADEMA itakuwa kama TLP kabisa au CHAUMA najua ni ngumu kuamini
Kama ndiy alitabiri kuhusu rais mwanamke basi tatizo lilianzia hapo!
Meza wembe mzee babaNakubaliana na wewe, Lisu hana sifa za kuwa mkuu wa chama, muda utaongea tusubili mihemko ya uchaguzi iishe watu wataujuwa ukweli na watamkumbuka Mbowe.
Wamekula hela halafu wamepita hivi.Tulimuonya wapambe wakamdanganya
Kwanini Chief wasema hivo!😂😂
Hakuna tena kupeana asaliTundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.
Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!
Hiyo ndiyo demokrasia, nilihofia tu wale wabobezi wa bao la mkono wasiingilie kati.Kawaingiza choo cha watoto mbogamboga Kala pesa zao
Tatizo Asali huwa inawanyamazisha wengi Sana.Tundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.
Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!
wajinga ndo waliwao mbona lema alishasema wakileta kuleni ila kura kwa lisuKwahiyo hela za mama Abdul zimeenda bure?
Taratibu utapaliwa🤣🤣🤣Kibaraka amekuwepo kama Rais wa TLS,Makamu Mwenyekiti,Mgombea Urais wenu na Mwanaharakagi.
Kina jipya ataleta akiwa Mwenyekiti Sasa hivi?