Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii mbona IPO duniani pote hata Harris Kamara alikiri before official announcement
Shida ya CCM wamejaa vilaza sana. Kamwe hawawezi kujua mambo ya kimataifa ya namna hiyo.

Alafu waonee huruma tu. Wali invest hela nyingi sana kuweka mabosheni pale Chadema. Wajumbe hela wamekula na wameweka viongozi imara wa kupambana na hiyo CCM yao
 
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Usimamizi ulikuwa huru na wazi, watu kukaa ukumbini muda wote ule?

Kama una mashtaka kafungue kesi, mahakama ziko wazi muda wote
 
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Kwani mtu hawezi kujua ameshindwa kabla ya matokeo kutangazwa?
 
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
acha uchuro, hujawahi kuona mshindwa anawahi kumpongeza mshindani wake hata kabla ya zoezi zima kumalizika? Unaona kabisa umepigwa kingi na umebakiwa na kete moja, utaendelea kucheza?
 
Sisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Na muwachawie kweli, warogeni haswa mpaka mashati yao yawe mekundu
 
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Sasa kama karatasi kwako hazijai, kwa nini uchoshe watu?
 
Hivi kwa mfano: Tundu Lisu paap! Kawa Rais wa JMT halafu akaanza kufanya mambo tofauti na mnavyotarajia itakuaje?
 
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Ukiwa na MBOJI, na SAMADI upstairs, ni hatari sana 🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom