Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
boni yai wakalabwake kamwambia
 
Mkuu kwani hujui kazi ya mawakala? ilikua sio lazima kusubiri announcement. Pia before announcement Mbowe concede matokeo. Hoja yako iko wapi?
 
Watanzania ndani na nje wamefurahishwa sana na ushindi wa Lissu/Heche.
 
Ndugu zangu ogopeni sana uchaguzi. Naamini ndiyo maana wakongwe kuwatajia kupigiwa kura wanakuwa mbogo ila wanapenda sana kusema ameshinda kwa asilimia mia moja

Waliomwangusha Mbowe kwa 90% ni wale aliowalea. Lakini wamemwangusha si kwa sababu wanamchukia bali wanakiu na aina mpya ya utawala.

Mfumo wakubadili watawala kidemokrasia unasaidia kufahamu yupi ni yupi lakini unasaidia kuiondoa jamii kwenye mfumo wa kuamini kwenye jambo moja

Uchaguzi huru, haki na wa wazi hauna kurushiana ngumi. Tumeona hali ya usalama ilivyo kabla na baada. Haki ikitoweka na incase haki ingetoweka pale mlimani sasa hivi jamii ingekuwa inapiga kelele.

Kwanini kelele ni nyingi kwenye sanduku la kura uchaguzi mkuu?
 
Tundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.

Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!
Kwa sasa kumebaki tabiri mbalimbali, mara hivi mara lile........
 
Back
Top Bottom