Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Wachawi walishakufa
 
Kwa kweli ushindi wa Lisuheche umeleta mwamko mpya kwenye siasa za Tanzania. Ule uhesabuji wa kura ulikuwa superb.
 
CHADEMA kila la kheri, bila Mbowe hiki Chama kinaenda kuwa kama NCCR Mageuzi au TLP, within 1 year only, CHADEMA itakuwa kama TLP kabisa au CHAUMA najua ni ngumu kuamini
Kwanini Chief wasema hivo!😂😂
 
Kwanini Chief wasema hivo!😂😂

Tundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.

Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!
 
Hakuna tena kupeana asali
 
Attachments

  • Screenshot_20241225-215807.jpg
    Screenshot_20241225-215807.jpg
    186.5 KB · Views: 2
Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
 
Tundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.

Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!
Tatizo Asali huwa inawanyamazisha wengi Sana.
Mfano Mwabukisi sijui kiti kimemfanya kimya
Pili katika maridhiano so Kuna miiko Naina ya vyama husika endapo ukienda tofauti watu wanakuwekea ushahidi wa mlikubaliana nini na Sasa unabwata nini kwa kipengele hicho si atakuwa mpole au!

Nadhani chama tawala Kuna kitu walinusa ndo maana wamemweka mzee na mzee alisema moja ya ilani Yao ni kushindwa Dola
Na kusimamia maridhiano kwa mantiki hiyo mbona Kama watamkata moto wake mapema!
 
Back
Top Bottom