Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Shida ya CCM wamejaa vilaza sana. Kamwe hawawezi kujua mambo ya kimataifa ya namna hiyo.Hii mbona IPO duniani pote hata Harris Kamara alikiri before official announcement
Waendelee na form one yao πCcm wamenunaa Chadema imewavua nguo imetafsiri democrasia kwa vitendo; nyie indeleeni na form mojaπππ
Usimamizi ulikuwa huru na wazi, watu kukaa ukumbini muda wote ule?Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Kwani mtu hawezi kujua ameshindwa kabla ya matokeo kutangazwa?Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Big up Lema β
acha uchuro, hujawahi kuona mshindwa anawahi kumpongeza mshindani wake hata kabla ya zoezi zima kumalizika? Unaona kabisa umepigwa kingi na umebakiwa na kete moja, utaendelea kucheza?Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
hata hiyo fomu moja haikuonekanaCcm wamenunaa Chadema imewavua nguo imetafsiri democrasia kwa vitendo; nyie indeleeni na form mojaπππ
Na muwachawie kweli, warogeni haswa mpaka mashati yao yawe mekunduSisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Umeongea kifupi lakini umejibu maswali ya wasioijua democracyCcm wamenunaa Chadema imewavua nguo imetafsiri democrasia kwa vitendo; nyie indeleeni na form mojaπππ
Sasa kama karatasi kwako hazijai, kwa nini uchoshe watu?Wakuu, huu uchaguzi wa
chadema unatia shaka sana , kulikuwa na haraka gani ya Mbowe kutangaza kushindwa hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo? Na ukichunguza kwa makini ile tweet yake ni kama iliandaliwa mapema glisubiri muda ufike apress button, ni wazi huu uchaguzi ulikuwa feki na wa kupangwa, nawashauri takukuru wachunguze kwa makini hawa matapeli wa kisiasa
Kama yapi.?Hivi kwa mfano: Tundu Lisu paap! Kawa Rais wa JMT halafu akaanza kufanya mambo tofauti na mnavyotarajia itakuaje?
. Atoke pepo kabisa.Toka zakoooo
Hawezi na tutamkataa piaHivi kwa mfano: Tundu Lisu paap! Kawa Rais wa JMT halafu akaanza kufanya mambo tofauti na mnavyotarajia itakuaje?
πππππKawaingiza choo cha watoto mbogamboga Kala pesa zao
Ukiwa na MBOJI, na SAMADI upstairs, ni hatari sana π€π€π€π€Wakuu, huu uchaguzi wa