Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
boni yai wakalabwake kamwambia
 
Mkuu kwani hujui kazi ya mawakala? ilikua sio lazima kusubiri announcement. Pia before announcement Mbowe concede matokeo. Hoja yako iko wapi?
 
Watanzania ndani na nje wamefurahishwa sana na ushindi wa Lissu/Heche.
 
Ndugu zangu ogopeni sana uchaguzi. Naamini ndiyo maana wakongwe kuwatajia kupigiwa kura wanakuwa mbogo ila wanapenda sana kusema ameshinda kwa asilimia mia moja

Waliomwangusha Mbowe kwa 90% ni wale aliowalea. Lakini wamemwangusha si kwa sababu wanamchukia bali wanakiu na aina mpya ya utawala.

Mfumo wakubadili watawala kidemokrasia unasaidia kufahamu yupi ni yupi lakini unasaidia kuiondoa jamii kwenye mfumo wa kuamini kwenye jambo moja

Uchaguzi huru, haki na wa wazi hauna kurushiana ngumi. Tumeona hali ya usalama ilivyo kabla na baada. Haki ikitoweka na incase haki ingetoweka pale mlimani sasa hivi jamii ingekuwa inapiga kelele.

Kwanini kelele ni nyingi kwenye sanduku la kura uchaguzi mkuu?
 
Kwa sasa kumebaki tabiri mbalimbali, mara hivi mara lile........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…