Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Fedhq haikuwahi kutosha ,embu fikiria jamaa alikuwa anakopesha chama na kurejeshewa kwa RibaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
A typical stupid African

Dunia ingejaa watu wa namna hii tungekuwa tunatembelea punda hadi sasa..
Grow up your mind
 
Sasa ndio nimeamini kuwa Lisu ndie mzalendo pekee aliyebakia ndani ya nchi hii...
 
Kuongoza chama Cha upinzani bongo ni zaidi ya kufanya kazi yoyote. Kama unaweza kufuka sehemu ukawaambia wakunje ngumi na kuwauta makamanda wakati hata sungusungu hawajawahi kucheza sembuse mgambo na baadaye unawaambia wachange na wanachanga kweli furushi la mahela Kuna haja ya biashara hapo? Achilia mbali misaada ya nje na ruzuku
 
Freeman Mbowe na John Komba walipewa Jukumu la kuimarisha Vijana Siasani na Mwalimu Nyerere πŸ˜‚
 
Kwa iyo uhuru Kenyatta alipokuwa Mwenyekiti wa KANU na badae kiongozi wa Upinzani Kenya 2000's alikuwa hana mali, wala hakutoka familia bora?

Ukitoka familia bora haina maana usiwe na "purpose" kwenye maisha.
 
Kama ulimsikiliza na inavyo julikana yule ni mfanya biashara na alisema hivyo akiaga. Pale alikuwa anafanya biashara ya siasa. Na alitaka aendelee kufanya hivyo, sema kura zimekataa, aliamini kabisa anashinda kwa hela aliyokuwa ametoa kwa wajumbe.
 
Kufanyakazi BoT na kutoka familia bora haifuti ukweli kwamba alifeli kidato cha nne!
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Watu wanakusanywa na kulipiwa posho halafu watu wanajiteua kugombea urais kinyume na katiba unafikiri kuna akili hapo?
Ni nyumbu haswaa!, leo wamekusanywa tena wilaya zote za mkoa wa Dodoma wamejaa hapo makao makuu eti kumpokea makamu mwenyekiti!
 
Haya matokeo yamewashangaza kina Lusungo Fundi Mchundo King Kong III FUSO Stuxnet na Team Mbowe.....ila tafadhalini sana msiuhujumu uongozi mpya wa Chadema (natania tu).....πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushindi wa Tundu Lissu Ni afya kwa demokrasia yetu kuwa na upinzani imara. Hii ni wake up call kwenye maeneo yote ambako haki inadhulumiwa na uwajibikaji unadorora

Baada ya uchaguzi tunavunja kambi, sasa hivi Tundu Lissu ndiye tegemeo letu wote kuifanya Serikali iwajibike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…