Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedhq haikuwahi kutosha ,embu fikiria jamaa alikuwa anakopesha chama na kurejeshewa kwa Riba🙆♂️🙆♂️Wakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.
Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15
Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.
Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
A typical stupid AfricanWakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.
Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15
Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.
Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
How njgga ?A typical stupid African
Dunia ingejaa watu wa namna hii tungekuwa tunatembelea punda hadi sasa..
Grow up your mind
Kuongoza chama Cha upinzani bongo ni zaidi ya kufanya kazi yoyote. Kama unaweza kufuka sehemu ukawaambia wakunje ngumi na kuwauta makamanda wakati hata sungusungu hawajawahi kucheza sembuse mgambo na baadaye unawaambia wachange na wanachanga kweli furushi la mahela Kuna haja ya biashara hapo? Achilia mbali misaada ya nje na ruzukuWakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.
Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15
Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.
Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
Hata mie nimejiuliza hapo. MindsetA typical stupid African
Dunia ingejaa watu wa namna hii tungekuwa tunatembelea punda hadi sasa..
Grow up your mind
Kama ulimsikiliza na inavyo julikana yule ni mfanya biashara na alisema hivyo akiaga. Pale alikuwa anafanya biashara ya siasa. Na alitaka aendelee kufanya hivyo, sema kura zimekataa, aliamini kabisa anashinda kwa hela aliyokuwa ametoa kwa wajumbe.Wakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.
Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15
Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.
Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
Kufanyakazi BoT na kutoka familia bora haifuti ukweli kwamba alifeli kidato cha nne!Wakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.
Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15
Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.
Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
Typical Tanzania Manzese MindsetFreeman Mbowe na John Komba walipewa Jukumu la kuimarisha Vijana Siasani na Mwalimu Nyerere 😂
Mama D punguza jazbaA typical stupid African
Dunia ingejaa watu wa namna hii tungekuwa tunatembelea punda hadi sasa..
Grow up your mind
HaswaaKufanyakazi BoT na kutoka familia bora haifuti ukweli kwamba alifeli kidato cha nne!
Ni nyumbu haswaa!, leo wamekusanywa tena wilaya zote za mkoa wa Dodoma wamejaa hapo makao makuu eti kumpokea makamu mwenyekiti!Watu wanakusanywa na kulipiwa posho halafu watu wanajiteua kugombea urais kinyume na katiba unafikiri kuna akili hapo?
Ushindi wa Tundu Lissu Ni afya kwa demokrasia yetu kuwa na upinzani imara. Hii ni wake up call kwenye maeneo yote ambako haki inadhulumiwa na uwajibikaji unadororaHaya matokeo yamewashangaza kina Lusungo Fundi Mchundo King Kong III FUSO Stuxnet na Team Mbowe.....ila tafadhalini sana msiuhujumu uongozi mpya wa Chadema (natania tu).....😂😂