Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa hakuna taasisi yenye demokrasia kama yenu itakayowazuia katiba mpya kabla ya uchaguzi.Sasa in kuwaelimisha wananchi wengine kwamba upinzani sio dhidi yao Bali ni kwa ajili yao ili wakiunge mkono wakati wa uchaguzi
 
Sio kwa ubaya ila yeyote atakayekaa pale juu, kuna wa juu yake zaidi atakayemfanya kuchukiwa na hawa hawa wenye matumaini chanya kwa sasa!

Labda pengine wameona Mbowe anafaa kugombea uraisi ndo maana wamemtoa kwenye uenyekiti; kitu ambacho itakuwa ngumu kumnadi kwakuwa wajumbe wamemtema!

Vyovyote vile, mihemko ndo imemuweka Lisu madarakani, wazaramo wanasema sijui, zitendwa mbali, zirongwa mbali.
- Lisu alifaa kuwa MWENEZI, wangetafuta mtu wa kumbadili Mbowe ila sio Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…