Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Tumekusikia Ngosha kaeni mkao wa kula turudishe heshima ya Tanganyika yetu
 

Attachments

  • FB_IMG_1702085740919.jpg
    1.6 KB · Views: 1
Hongereni Chadema kwa uchaguzi
 
Uzuri au ubaya ni kwamba, humjui Lissu wala Mbowe so huu ni mtizamo wako binafsi.
Mihemko au calculated decision, vyovyote vile wewe huna both moral authority and authenticity to justify that.
Wamelltaka lao, wamelipata. Chochote kitakachojiri, hawana wa kumlaumu, ni maamuzi yao
 
Kiukweli nimefarijika sana ndugu zangu, Yale machungu ya mchengelwa na genge lake yamepoa japo kovo bado bichi kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20250122-082858.png
    613.1 KB · Views: 2
πŸ“Œ Wachache wataelewa na this time around mambo yatakuwa hovyo sana upande wa pili.

Maana kampeni za kikanisa zilianza Mwaka jana kwa kina sana kuondoa regime inayoleta utata katika Imani yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…