Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah tuna hali mbaya sana Oct,
Kisiki kitatuhangaisha na Mama yetu hadi maji tuite Mmaa!
 
Tawaambia nini watu? Mwenzake Yeriko angakau jana alijiwah kwenda kujibembeleza kwa lissu wakat wa lunch akae karribu kujichekesha chekesha mzee wa fursa ku copy na ku paste. Bon yai akajifanya mbishi..ona sasa
Lisu ana nini? masikini a kuchngiwa. Yeriko has nothing to loose!
 
Mr. Mbowe utakumbukwa vizazi na vizazi; umekubali kushindwa Katika sanduku la kura, wewe ni mwana-demokrasia wa kweli. Tundu unaingia, uongozi siyo mchezo, Mbowe kamaliza muda wake wa uongozi, sasa wewe ndiyo unakabidhiwa lungu. Usifanye utani kwenye maisha ya waTanzania au la tutakugeuka popote utapoteleza na kufanya mambo ambayo siyo msingi wa Chama na Taifa kwa ujumla. Visa Hapana, tujenge Chama na Nchi
 
Atafanya mengi ambayo bibi mimacho yamemshinda.
Let ua wait and see kama ataleta katiba mpya, tume huru..... Mropokaji kinachofuata ni jela, kama slaa "risasi" zingine maana hana mtetezi sasa na Nairobi haipo
 
Ahsante Mbowe... Tutakupenda Daima...
 
Hongera sana FAM, umeonyesha demokrasia kwa kukubali matokeo. Nadhani CDM wameonyesha watanzania kuwa kuna demokrasia ya kweli.

Hongera sana TAL, japo siasa zako sizikubali ila we hope you will steer the ship to the shore.
 
Let ua wait and see kama ataleta katiba mpya, tume huru..... Mropokaji kinachofuata ni jela, kama slaa "risasi" zingine maana hana mtetezi sasa na Nairobi haipo
Mtetezi wake kwa sasa ni Mungu na sisi wananchi.
Unaleta mambo ya kutishana karne hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…