Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nincompoop
 
Nipende kuwapongeza Chadema kwa kukamilisha zoezi la kupata uongozi mpya wa Chama kwa amani.

Pia nipende kuwakaribisha CCM wale wote ambao hawakuridhika na matokeo ya aina yeyote.

Karibuni CCM mpate faraja.
 
📌 Wachache wataelewa na this time around mambo yatakuwa hovyo sana upande wa pili.

Maana kampeni za kikanisa zilianza Mwaka jana kwa kina sana kuondoa regime inayoleta utata katika Imani yao.
100% Fact
 
Si ndio furaha yenu ccm?!


CHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi..!!

Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
 
Mbowe alishindwa kuusoma upepo toka mwanzo,angeweza kuikwepa aibu hii kwa kutogombea, mwisho yamemkuta.
Sijui kwa nini mnaiona kama aibu, si ndio demokrasiatunayoimba kila siku wakuu?

Mimi nampongeza sana, he's the father of democracy, hamjui tu kwamba angekuwa mwingine hata vurugu angelica ili ashinde.
 
Mbowe kasema account yake Twitter haifanyi kazi tangu juzi anashangaa huyo ni nani anaandika hvyo vitu na anatokea wap kasema ikifika saa Tano kamili ataongea na waandishi wa habari.



Natania wadau!
 
CHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani ya Chama Cha Mapinduzi..!!

Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
Hakuna kundi la mbowe watakuja ccm, wako strong sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…