Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna kundi la mbowe watakuja ccm, wako strong sana..


Lissu hawezi kukaa na watu alio waita wala rushwa ndani ya CHADEMA, tena wote watakuja CCM, jipe one week uone
 
Mbowe kasema account yake Twitter haifanyi kazi tangu juzi anashangaa huyo ni nani anaandika hvyo vitu na anatokea wap kasema ikifika saa Tano kamili ataongea na waandishi wa habari.



Natania wadau!
Wapo amesema hvo.. millard ayo,mwanzo TV, tayari wamepost ushindi wa tundu,na mbowe kukubali kushindwa
 
CHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi..!!

Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
endelea kujifariji na huo ujumbe wako kila ukiona unaumia
 
ccm needs to come on a drawing table again .. drafting a things to counteract this

ccm were busy doing dramas on saturday and friday but this is a new counterfeit

anyway mbowe drafted all this and congrats to him its different from what people sees chadema is widely and more talked right now than how it was talked about in 2010

and ccm they are they have given lissu such an easy opponent maybe we may see much colours from march

its getting busy on white house

anyway we should not be much excited , maybe kijana is also a part of system well trained one than others than zitto than mbowe and he will keep ccm on check lots of black noises syste have
 
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.

View attachment 3209693
Jah is great, CCM imeanguka
 
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.

View attachment 3209693
Sema watu wanaComment tu lakini man of the match na aliyebadili upepo ni yule aliyechaguliwa Mwenyekiti wa Uchaguzi baada ya kutoa ile tahadhari ya kupiga picha na kuweka alama... watu wakaona aaaaah sasa si bora nipige kihalali tu
 
CHADEMA kila la kheri, bila Mbowe hiki Chama kinaenda kuwa kama NCCR Mageuzi au TLP, within 1 year only, CHADEMA itakuwa kama TLP kabisa au CHAUMA najua ni ngumu kuamini
Unamtazamo hasi mkuu
 
Sijui kwa nini mnaiona kama aibu, si ndio demokrasiatunayoimba kila siku wakuu?

Mimi nampongeza sana, he's the father of democracy, hamjui tu kwamba angekuwa mwingine hata vurugu angelica ili ashinde.
Imagine FAM angekubali tu kumpa Chama Lissu Bila Yeye Kugombea, Chama Kingereza Kushika attention katika akili za watanzania?

Uchaguzi Umekuwa wa Huru na Haki? Yes!

FAM amekubali Matokeo? Yes!

Aibu Iko wapi hapo? Zaidi sana Chama Kimejiuza Mnoo!

Utadhani Dodoma Hakukua na Mkutano wa CCM kwa namna ambavyo Chadema ilivyoshika media zote
 
Back
Top Bottom