Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kundi la mbowe watakuja ccm, wako strong sana..
Wapo amesema hvo.. millard ayo,mwanzo TV, tayari wamepost ushindi wa tundu,na mbowe kukubali kushindwaMbowe kasema account yake Twitter haifanyi kazi tangu juzi anashangaa huyo ni nani anaandika hvyo vitu na anatokea wap kasema ikifika saa Tano kamili ataongea na waandishi wa habari.
Natania wadau!
huyo jamaa hajakimbia id yake?Nasikia mlimuhonga sultan? Ni kweli?
Subiri mnyolewe kwa chupa nyie na huyo mamaenuKibaraka amekuwepo kama Rais wa TLS,Makamu Mwenyekiti,Mgombea Urais wenu na Mwanaharakagi.
Kina jipya ataleta akiwa Mwenyekiti Sasa hivi?
endelea kujifariji na huo ujumbe wako kila ukiona unaumiaCHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi..!!
Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
Sultan huyu dalili ilionekana mapema ila kang'ang'ania hadi kaondoka kwa fedheha na hela yake aliyohonga watu wamekula
Mkuu,Abduli katapeliwa na Wenje...
rasmi tuta mwita sm na sio fm.Sultan boya sana huyu dalili ilionekana mapema ila kang'ang'ania hadi kaondoka kwa fedheha na hela yake aliyohonga watu wamekula
Jah is great, CCM imeangukaNimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Sema watu wanaComment tu lakini man of the match na aliyebadili upepo ni yule aliyechaguliwa Mwenyekiti wa Uchaguzi baada ya kutoa ile tahadhari ya kupiga picha na kuweka alama... watu wakaona aaaaah sasa si bora nipige kihalali tuNimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Huyu si alienda Ngorongoro akapigwa pini? Kimsingi hana jipya na usitarajie jipya ,Niko hapa kuwakumbusha msije tuu kukimbia jukwaa.Subiri mnyolewe kwa chupa nyie na huyo mamaenu
Amejidhalilisha kwa tamaa ya fedha. Amepata, alichostahiliMbowe anastahili heshima kubwa ndani ya chadema,badala ya kubezwa.. amefanya mengi mazuri ndani ya chama.
Unamtazamo hasi mkuuCHADEMA kila la kheri, bila Mbowe hiki Chama kinaenda kuwa kama NCCR Mageuzi au TLP, within 1 year only, CHADEMA itakuwa kama TLP kabisa au CHAUMA najua ni ngumu kuamini
Imagine FAM angekubali tu kumpa Chama Lissu Bila Yeye Kugombea, Chama Kingereza Kushika attention katika akili za watanzania?Sijui kwa nini mnaiona kama aibu, si ndio demokrasiatunayoimba kila siku wakuu?
Mimi nampongeza sana, he's the father of democracy, hamjui tu kwamba angekuwa mwingine hata vurugu angelica ili ashinde.