Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Screenshot_20250122-102359_X.jpg
 
Umenikumbusha ile $500,000 Ibenge aliyovuta toka kwa GSM kuwapa kikosi cha pili lakini akijua kuwa hawaendi popote. Umetoa ulinganisho mzuri sana kuanzia leo Mbowe nitamuita Ibenge. You made my day 😄😄😄
Katuletea ushirikiano wa kenge,mvua imenyesha katuacha nchi kavu ye kazama majini na mabilioni yetu
 
John Mnyika ni hazina kubwa ya nchi, ni kiongozi mwenye matumizi mazuri ya ubongo wake, katika nyakati hizi anahitajika sana kuwa katibu mkuu wa CHADEMA
 
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.

View attachment 3209693
Habari njema nimekutana nayo
 
Wanajf nawasalim kwa furaha kubwa tokana na ushindi wa Lissu na Heche.

Andiko ili ni fupi sana na rejea mada tajwa hapo juu.

Imekua mshike mshike kwenye jukwaa hili tangu kampeni za uchaguzi wa chadema wa ndani kwa nafasi ya Uwenyekiti Utangazwe.

Mvutano kupitia jukwaa hili ilikua FAM au Mbowe.

Team lissu tulisema ushindi ni mapema sana, machawa kutoka ccm plus upande wa FAM walitujazia kila haina ya kebehi.

Sasa Lissu na Heche kashinda ,hakuna kukimbia njoo mtueleze kupitia andiko hili , na mtutake radhi kwa kuwa na kamdomo.

Ntobi, Yeriko Nyerere, njooni hapa na kamdomo tena,

Note ,machawa wa CCM jiandaeni ,tunakuja sio mda kuanza jadili mkutano wenu wa ccm wa juzi ,kilichofanyika hakikubaliki, alafa punguzeni kamdomo.
 
Bahati mbaya zaidi hawana mshipa wa aibu
 
Back
Top Bottom