Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹😹 Ajitahidi hata mkono atupungie hatujamzoea hivyo…!!Huyo blanket lake limeloa na mvua ya usiku limekua zito anashinda kujifunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 Ajitahidi hata mkono atupungie hatujamzoea hivyo…!!Huyo blanket lake limeloa na mvua ya usiku limekua zito anashinda kujifunua
Anapitia wakati mgumu..!!Huyo hawezi fanya hivyo labda kwa ID, maana ID yake ya Tlaatlaah ipo kwenye payroll ya chura kiziwi hangaya.
Katuletea ushirikiano wa kenge,mvua imenyesha katuacha nchi kavu ye kazama majini na mabilioni yetuUmenikumbusha ile $500,000 Ibenge aliyovuta toka kwa GSM kuwapa kikosi cha pili lakini akijua kuwa hawaendi popote. Umetoa ulinganisho mzuri sana kuanzia leo Mbowe nitamuita Ibenge. You made my day 😄😄😄
Katuletea ushirikiano wa kenge,mvua imenyesha katuacha nchi kavu ye kazama majini na mabilioni yetuUmenikumbusha ile $500,000 Ibenge aliyovuta toka kwa GSM kuwapa kikosi cha pili lakini akijua kuwa hawaendi popote. Umetoa ulinganisho mzuri sana kuanzia leo Mbowe nitamuita Ibenge. You made my day 😄😄😄
Huyo ndiye Ibenge wa MachameKatuletea ushirikiano wa kenge,mvua imenyesha katuacha nchi kavu ye kazama majini na mabilioni yetu
Tlaatlaah yupo hukuWale makada wa ccm waliokuwa wanaanzisha nyuzi humu kila dakika wako wapi? Tlaatlaah Magonjwa Mtambuka Yericko Nyerere Lucas Mashamba n.k View attachment 3209723
Wanampiga para?
Kabisa bwashee.Wanampiga para?
Leo mkono hauendi kinywani,manake waliahidiwa Ibenge akipita Wana fungu lao.Lisu kaharibu😹😹😹 Ajitahidi hata mkono atupungie hatujamzoea hivyo…!!
Mambo ya ajabu kabisaWazee wa kupita bila kupingwa .......wazee wa kuweka mgombea na mmoja na kumpigia ndiyo au hapana.
Habari njema nimekutana nayoNimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Lahauallah!
Lahauallah
Unamaanisha Kwa mpalange!?Wanampiga para?
Safi Safi safiiih !
Bahati mbaya zaidi hawana mshipa wa aibuWanajf nawasalim kwa furaha kubwa tokana na ushindi wa Lissu na Heche.
Andiko ili ni fupi sana na rejea mada tajwa hapo juu.
Imekua mshike mshike kwenye jukwaa hili tangu kampeni za uchaguzi wa chadema wa ndani kwa nafasi ya Uwenyekiti Utangazwe.
Mvutano kupitia jukwaa hili ilikua FAM au Mbowe.
Team lissu tulisema ushindi ni mapema sana, machawa kutoka ccm plus upande wa FAM walitujazia kila haina ya kebehi.
Sasa Lissu na Heche kashinda ,hakuna kukimbia njoo mtueleze kupitia andiko hili , na mtutake radhi kwa kuwa na kamdomo.
Ntobi, Yeriko Nyerere, njooni hapa na kamdomo tena,
Note ,machawa wa CCM jiandaeni ,tunakuja sio mda kuanza jadili mkutano wenu wa ccm wa juzi ,kilichofanyika hakikubaliki, alafa punguzeni kamdomo.
KIla chaguzi ina sehemu mbili, kushinda ama kushindwa.Tulimuonya wapambe wakamdanganya