Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipumba humwambii kuhusu Maandamano hata kidogo 😅😅unao mpaka muda wa kumjadidil mpina yule jamaa wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogo 😀
nadhani hakuna haja ya yote hayo,
ungesema kwa uchache kabisa kwamba yamefanyika maandamano mengi sana yakiongozwa na haya manyumbu l yaliyofanyika tarehe au mwezi fulani mwaka fulani yalikua ya amani na yalifanikiwa pakubwa...
R.I.P akwilina
Wewe unatamani siasa za IranSiasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
samahan comrade, samahan sana nimeghafilika kidogo,Umesamaje hapo harudi tena kibaka!
Kama una familia naona wanaona aibu sana kukutambulishahapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...
hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....
Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...
Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎
sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
Mke wa Mbowe haishi Tanzania sio leo Tangu zamani kabla hujazaliwa..Niletee picha za mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano ya aina yoyote ile ya CHADEMA ya mwaka wowote ule.
I hope Huyo balozi amekaribishwa kuandamanaSiasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
virungu havizoelekagi aise na havina mzoefu 🤣Lipumba humwambii kuhusu Maandamano hata kidogo 😅😅
Nakumbuka mwaka huo sijui ilikuwa 2004 ile..
LIPUMBA ALIKULA KICHAPP
View attachment 2875515
Hapo hawajaonyesha Vizuri alivhezea mpaka shati likachanwa 🤣🤣🤣virungu havizoelekagi aise na havina mzoefu 🤣
virungu ni virungu tu
Kama una familia naona wanaona aibu sana kukutambulisha kiongozi wa manyumbu atawatambulisha nyote January 24 🐒
mtatambulishwa nyote kwa virungu January 24Kama una familia naona wanaona aibu sana kukutambulisha
Akitoka huko utakuta mifuko imetuna🤣🤣. Wamatekani ndio maboss wa chadema.😏Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Hoja ya kijinga sana ! Vyama vya siasa siyo mali ya familiaNiletee picha za mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano ya aina yoyote ile ya CHADEMA ya mwaka wowote ule.
Nipe picha ndugu yangu ya Mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano. Pia lazima ufahamu kuwa CHADEMA ni mali binafsi ya Mbowe aliyopewa na kurithishwa na Mkwe wake Mzee Mtei ili iwasaidie katika kujipatia mahitaji yao ya kuendesha maisha yao. Hujiulizi kwanini alishawaambia wale wanaomendea kiti chake kuwa sumu haionjwi kwa ulimi?Hoja ya kijinga sana ! Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Yes sera yao mama na economic hit mans tanzania wengi hawana uzalendo wapo sehemu zote hapa tunapunguzwa kasi ya maendeleo tuwe tunategemea wao hata nchi jirani zinatumika kwa tz hili suala linataka mabadiliko makubwa sana kwenye uongoziSiasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
acha upotoshaji chadema sio mali ya familia na ukoo?Hoja ya kijinga sana ! Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Hii ni njia ya mbowe kujimwambafy, Balozi kaombwa waonane blabla na baadaye CHADEMA wakapiga picha. This is neither here or there, huitwa photo-op. Unakumbuka wale vijana waliopeleka petition Ubalozi wakavurumishiwa mlangoni? Ni for shoo.Yalishapita mengi kama hayo na hakukua na jipya cha muhimu ni kukaza buti.
Swali lingine la kijingaacha upotoshaji chadema sio mali ya familia na ukoo?