Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alianza na sugu sasa Mboye.

Chadema walivyo utasikia Marekani wanataka tuchukue nchi 2025.
 
unao mpaka muda wa kumjadidil mpina yule jamaa wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogo 😀

nadhani hakuna haja ya yote hayo,
ungesema kwa uchache kabisa kwamba yamefanyika maandamano mengi sana yakiongozwa na haya manyumbu l yaliyofanyika tarehe au mwezi fulani mwaka fulani yalikua ya amani na yalifanikiwa pakubwa...
R.I.P akwilina
Lipumba humwambii kuhusu Maandamano hata kidogo 😅😅
Nakumbuka mwaka huo sijui ilikuwa 2004 ile..

LIPUMBA ALIKULA KICHAPP
 
hapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...

hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....

Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...

Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎

sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
Kama una familia naona wanaona aibu sana kukutambulisha
 
Niletee picha za mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano ya aina yoyote ile ya CHADEMA ya mwaka wowote ule.
Mke wa Mbowe haishi Tanzania sio leo Tangu zamani kabla hujazaliwa..
Ila Mtoto wa Mbowe kina James na wengine wapo na wanashiriki maandamano
 
Hawa jamaa hawasupport Sana hizi harakati kwa sababu mama yuko busy kuwagawia rasilimali in short wanapenda viongozi madalali
 
Hoja ya kijinga sana ! Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Nipe picha ndugu yangu ya Mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano. Pia lazima ufahamu kuwa CHADEMA ni mali binafsi ya Mbowe aliyopewa na kurithishwa na Mkwe wake Mzee Mtei ili iwasaidie katika kujipatia mahitaji yao ya kuendesha maisha yao. Hujiulizi kwanini alishawaambia wale wanaomendea kiti chake kuwa sumu haionjwi kwa ulimi?
 
Siasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
Yes sera yao mama na economic hit mans tanzania wengi hawana uzalendo wapo sehemu zote hapa tunapunguzwa kasi ya maendeleo tuwe tunategemea wao hata nchi jirani zinatumika kwa tz hili suala linataka mabadiliko makubwa sana kwenye uongozi
 
Mimi Mwekundu damu na nyama lakini tukubali tu ukweli Mbowe tumepigwa hatuna mpinzani pale, ni kamsela fulani tu kenye masrahi yake binafs.
 
Yalishapita mengi kama hayo na hakukua na jipya cha muhimu ni kukaza buti.
Hii ni njia ya mbowe kujimwambafy, Balozi kaombwa waonane blabla na baadaye CHADEMA wakapiga picha. This is neither here or there, huitwa photo-op. Unakumbuka wale vijana waliopeleka petition Ubalozi wakavurumishiwa mlangoni? Ni for shoo.
 
Back
Top Bottom