Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa kinachokuliza nini ?Hii ni njia ya mbowe kujimwambafy, Balozi kaombwa waonane blabla na baadaye CHADEMA wakapiga picha. This is neither here or there, huitwa photo-op. Unakumbuka wale vijana waliopeleka petition Ubalozi wakavurumishiwa mlangoni? Ni for shoo.