Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni njia ya mbowe kujimwambafy, Balozi kaombwa waonane blabla na baadaye CHADEMA wakapiga picha. This is neither here or there, huitwa photo-op. Unakumbuka wale vijana waliopeleka petition Ubalozi wakavurumishiwa mlangoni? Ni for shoo.
Sasa kinachokuliza nini ?
 
Hii ni njia ya mbowe kujimwambafy, Balozi kaombwa waonane blabla na baadaye CHADEMA wakapiga picha. This is neither here or there, huitwa photo-op. Unakumbuka wale vijana waliopeleka petition Ubalozi wakavurumishiwa mlangoni? Ni for shoo.
Unajua kuwa sio Mara ya kwanza kuonana naye au nikupe Risiti..?
Unajua kuwa mabalozi wangapi ameonana nao?
 
Uko sahihi kiongozi,
Bob Makani alikua mbunge tu kama wabunge wengine na for sure alikua machachari mbaya sana nyakati hizo Mzee Msekwa yupo pale kitini...

lakini chama ni cha familia na ukoo flani, hata ukimchek ata Bob Makani pia licha ya kuwa muwakilishi wa kanda tofauti na kaskazini lakini vinasaba vya ukoo anavyo 🐒
Hapana! Viongozi wa chadema alidhawahi kuwa mpaka BoB nyanga makani miaka ya 2002 na 2003 na 2004 alikuwa anagombea Ubunge I think Shinynga
 
Itakuwa balozi wa Marekani amemwambia mbowe kuwa wewe na chama chako ni manyumbu na mafisi wakubwa. Itakuwa akaendelea kumuuliza Mbowe kuwa kwanini tangia 2004 ni wewe tu unang'ang'ania tu uenyekiti kama sumaku kwenye chuma? Kwamba kwenye chama hakuna mwingine anayeweza kuongoza isipokuwa wewe tu unayewaambia watu kuwa sumu haionjwi kwa ulimi? Itakuwa akamwambia pia mbowe kuwa ninyi kwanini hatujawahi kuwaona watoto wako au mke wako kwenye maandamano?
Nchimbi toka miaka ya 2000 uenyekiti uvccm hadi balozi takribani miaka 23 uongozini na kumrudisha tena ccm kama katibu, kwani hakuna wengine wanaoweza kutumikia hiyo nafasi?
 
Uko sahihi kiongozi,
Bob Makani alikua mbunge tu kama wabunge wengine na for sure alikua machachari mbaya sana nyakati hizo Mzee Msekwa yupo pale kitini...

lakini chama ni cha familia na ukoo flani, hata ukimchek ata Bob Makani pia licha ya kuwa muwakilishi wa kanda tofauti na kaskazini lakini vinasaba vya ukoo anavyo 🐒
Hapana Makani hakuwa kuwa Mbunge ila aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 1998 mpaka 2003 na ni msukuma wa Shinyanga..
Jamaa aliwahi kuwa Naibu Gavana wa tz..

Chadema Haiji kupata Kiongozi multi Talent, multi educational,na Mult disciplinary kama makani!.

Alikuwa kadi namba 3 ya Chadema na ndo walishauriana na Mtei kuanzisha chadema wakiwa na Brown Ngilulupi..

Ila cha ajabu wanaCHADEMA wengi hawajui hixi historia Mimi mwanaCCM nawashinda naweza kuelezea Historia ya CHADEMA MPAKA UKASHANGAA
 
Hapana Makani hakuwa kuwa Mbunge ila aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 1998 mpaka 2003 na ni msukuma wa Shinyanga..
Jamaa aliwahi kuwa Naibu Gavana wa tz..

Chadema Haiji kupata Kiongozi multi Talent multi education na Mult disciplimary kama makani!.

Alikuwa kadi namba 3 ya Chadema na ndo walishauriana na Mtei kuanzisha chadema wakiwa na Brown Ngilulupi..

Ila cha ajabu wanaCHADEMA wengi hawajui hixi historia Mimi mwanaCCM nawashinda naweza kuelezea Historia ya CHADEMA MPALA UKASHANGAA
sure uko sahihi
sorry nilimix na phares Kabuye wa TLP

Yes makani alikua katibu mkuu chadema then chairman
 
Uko sahihi kiongozi,
Bob Makani alikua mbunge tu kama wabunge wengine na for sure alikua machachari mbaya sana nyakati hizo Mzee Msekwa yupo pale kitini...

lakini chama ni cha familia na ukoo flani, hata ukimchek ata Bob Makani pia licha ya kuwa muwakilishi wa kanda tofauti na kaskazini lakini vinasaba vya ukoo anavyo 🐒
Bob Makani aliwahi kuwa katibu Mkuu
 
Demokrasia gani yeye ameng'owa kipengele cha katiba aongoze milele aliahidi 2023 ndio mwisho lakini yeye kwanza anataka kugombea uraisi!
Umeshawahi kuwasikia wanachama wa CHADEMA wakilalamikia katiba ya CHADEMA kutokuwa na kipengere kinachomzuia aliyekuwa kiongozi kugombea tena na tena?

Niambie, ni kipengere gani ndani ya katiba ya CCM kinachosema kiongpzi wa chama ni mwisho mihula mingapi kuongoza.
 
Marekan kwenyewe hakuna demokrasia wanayohubiri,Trump tu alilizwa mchana kweupe[emoji23][emoji1787] 2020
 
Mbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa
Hivi CCM ipo kwenye harakati gani za kujikomboa? Kujikomboa toka kwa nani?

Najua wapo Watanzania wengi wanaohangaika kujikomboa toka kwenye ukoloni wa CCM. Kumbe na CCM nayo ipo kwenye jitihada za kujikomboa!!
 
sure uko sahihi
sorry nilimix na phares Kabuye wa TLP

Yes makani alikua katibu mkuu chadema then chairman
Yeah Katika ukuaji wa Chama cha CHADEMA, Mtu ambaye alipaswa kupewa maua Yake ni Bob Nyanga makani!..

Huyu Jamaa ni kama Nyerere wa Chadema Alikubali kupokea matusi Kwa wananchi kipindi hicho mwaka 92 na 93,na 94..

Watu wakimuita Muasi kwa Kuanzisha Chama kipya Tofauti na CCM ila ndo Alifanikiwa Kurecruit watu wengi sana kuwa wanachama kpindi hicho japo kwa shida tupu..

Bob Nyanga ndo alifanya Nyerere Afurahie wazo lake la kuruhusu Vyama Vingi Kwa sababu Sera za Chadema Zilimpendeza sana Chini ya katibu Makani!..

Cha ajabu Chadema haithamini Mchango wa makani ila wanathamini wa Mtei ambaye alikuwa amekaa tu
 
Back
Top Bottom