Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kadi za wakongwe hizi
 
Attachments

  • IMG_20150807_122130.jpg
    IMG_20150807_122130.jpg
    415.7 KB · Views: 1
Yeah Katika ukuaji wa Chama cha CHADEMA, Mtu ambaye alipaswa kupewa maua Yake ni Bob Nyanga makani!..

Huyu Jamaa ni kama Nyerere wa Chadema Alikubali kupokea matusi Kwa wananchi kipindi hicho mwaka 92 na 93,na 94..

Watu wakimuita Muasi kwa Kuanzisha Chama kipya Tofauti na CCM ila ndo Alifanikiwa Kurecruit watu wengi sana kuwa wanachama kpindi hicho japo kwa shida tupu..

Bob Nyanga ndo alifanya Nyerere Afurahie wazo lake la kuruhusu Vyama Vingi Kwa sababu Sera za Chadema Zilimpendeza sana Chini ya katibu Makani!..

Cha ajabu Chadema haithamini Mchango wa makani ila wanathamini wa Mtei ambaye alikuwa amekaa tu
Wengi ni vijana wadogo. Na bahati mbaya Makani katangulia mbele za haki. Otherwise, huwezi kuitaja CHADEMA bila makani, kama ilivyo kwa TANU, Huwezi kitaja TANU bila ya Bibititi au Kambona.
 
🤓👊💪🙏
Pesa ndio kila kitu ideas na plans hawakuona issue actually ni mpaka sasa, kapuku kaa na makapuku wenzie
 
hapakuwapo na wa kumsemea na huenda hakuwajenga na kuwajengea msingi vijana na waliokuako wakati huo, ili wamuone ni mentor wao,

huenda pia aliwadhibiti wasichomoze juu yake na kwahivyo hakuacha legacy inayovutia kuielezea in public kama anavyoelezewa kwa uchache nyakati hizi muhimu..

This is politics bana....
 
🤓👊💪🙏
Pesa ndio kila kitu ideas na plans hawakuona issue actually ni mpaka sasa, kapuku kaa na makapuku wenzie
Makani alikuwa na Pesa pia Mkuu!..

Otherwise asingeweza kumsogelea Mtei yeye na mwenzake Brown 😀😀
chadema infact imeanzishwa na watu watatu tu..

Au umesahau kuwa Makani aliwahi kuwa..
  • Naibu Gavana Mkuu BOT (Akiwa msaidizi wa Edwin Mtei)
  • Mwanasheria wa Serikali
  • Exchange control Manager wa BOT
  • Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society
  • Mkurugenzi wa Bodi ya Madini ya Williamson Diamonds
  • Mkurugenzi Bodi ya Tanzania Breweries Limited Taifa
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege Tanzania. (ATCL)
  • Mkurugenzi Bodi ya Benki ya Taifa ya Biashara
Usisahau alikuwa anaDegree si chini Ya Tatu uchumi na sheria zikiwemo na zote alizisome Nje ya nchi ulaya na makelele
 
🤣 tsaatsaaatsaaaaatsssaaaahh
nakubali nakubali mkuu 👊🙌🙌👏👐
 
hope wamezungumzia maandamano ya vurugu ya mapanyarodi January 24, na hatua ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa na kampeni ya kusafisha jiji kama tahadhari ya kudhibiti mlipuko wa kipindupindu dar...

Maandamano ya amani yamekuwaje ya vurugu kabla hata hayajafanyika?? WATU WENGINE !!. Maandamano yanaruhusiwa kisheria kama Tanzania hatuyataki tufute badala ya kuwa na sheria ambazo sisi wenyewe hatutaki kuzitekeleza sasa maandamano kisheria yanatakiwa kuwa ya nini hasa?
 
[emoji28][emoji28]
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!

Trying moments for Mama Rais 4R……., Kuna baadhi ya viongozi ccm imewarudisha madakani ambao wana kesi za kujibu za mauwaji na mambo mengine …. Nadhani huu ni mtego …..
 
Mbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa

Kwani serekali inaona ugumu gani kuleta marekebisho ya haki ?? Kweli karne hii ni ya kulazimisha wakurugenzi wasimamie uchaguzi ? Wakurugenzi ambao wameteuliwa wengine kutoka mitaani kama makada …..
Kuna ugumu gani kuwa na Tume huru ya uchaguzi ….kwani wakiamua kupenyeza watu wa TISS bado watashindwa …au hawawaamini hata TISS >>?
 
Big Point
 
Maandamano ya amani yamekuwaje ya vurugu kabla hata hayajafanyika?? WATU WENGINE !!. Maandamano yanaruhusiwa kisheria kama Tanzania hatuyataki tufute badala ya kuwa na sheria ambazo sisi wenyewe hatutaki kuzitekeleza sasa maandamano kisheria yanatakiwa kuwa ya nini hasa?
maandamano ya Nyumbu na panyarodi yamewahi kua ya amani tangu lini 🐒
 
Back
Top Bottom