Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hajawagawia wazungu. Amewagawia waarabu.Hawa jamaa hawasupport Sana hizi harakati kwa sababu mama yuko busy kuwagawia rasilimali in short wanapenda viongozi madalali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawagawia wazungu. Amewagawia waarabu.Hawa jamaa hawasupport Sana hizi harakati kwa sababu mama yuko busy kuwagawia rasilimali in short wanapenda viongozi madalali
🤣🤣🤣Wale vyama 13 wa CCM hawajaitwa?
Wengi ni vijana wadogo. Na bahati mbaya Makani katangulia mbele za haki. Otherwise, huwezi kuitaja CHADEMA bila makani, kama ilivyo kwa TANU, Huwezi kitaja TANU bila ya Bibititi au Kambona.Yeah Katika ukuaji wa Chama cha CHADEMA, Mtu ambaye alipaswa kupewa maua Yake ni Bob Nyanga makani!..
Huyu Jamaa ni kama Nyerere wa Chadema Alikubali kupokea matusi Kwa wananchi kipindi hicho mwaka 92 na 93,na 94..
Watu wakimuita Muasi kwa Kuanzisha Chama kipya Tofauti na CCM ila ndo Alifanikiwa Kurecruit watu wengi sana kuwa wanachama kpindi hicho japo kwa shida tupu..
Bob Nyanga ndo alifanya Nyerere Afurahie wazo lake la kuruhusu Vyama Vingi Kwa sababu Sera za Chadema Zilimpendeza sana Chini ya katibu Makani!..
Cha ajabu Chadema haithamini Mchango wa makani ila wanathamini wa Mtei ambaye alikuwa amekaa tu
🤓👊💪🙏Yeah Katika ukuaji wa Chama cha CHADEMA, Mtu ambaye alipaswa kupewa maua Yake ni Bob Nyanga makani!..
Huyu Jamaa ni kama Nyerere wa Chadema Alikubali kupokea matusi Kwa wananchi kipindi hicho mwaka 92 na 93,na 94..
Watu wakimuita Muasi kwa Kuanzisha Chama kipya Tofauti na CCM ila ndo Alifanikiwa Kurecruit watu wengi sana kuwa wanachama kpindi hicho japo kwa shida tupu..
Bob Nyanga ndo alifanya Nyerere Afurahie wazo lake la kuruhusu Vyama Vingi Kwa sababu Sera za Chadema Zilimpendeza sana Chini ya katibu Makani!..
Cha ajabu Chadema haithamini Mchango wa makani ila wanathamini wa Mtei ambaye alikuwa amekaa tu
hapakuwapo na wa kumsemea na huenda hakuwajenga na kuwajengea msingi vijana na waliokuako wakati huo, ili wamuone ni mentor wao,Wengi ni vijana wadogo. Na bahati mbaya Makani katangulia mbele za haki. Otherwise, huwezi kuitaja CHADEMA bila makani, kama ilivyo kwa TANU, Huwezi kitaja TANU bila ya Bibititi au Kambona.
Makani alikuwa na Pesa pia Mkuu!..🤓👊💪🙏
Pesa ndio kila kitu ideas na plans hawakuona issue actually ni mpaka sasa, kapuku kaa na makapuku wenzie
🤣 tsaatsaaatsaaaaatsssaaaahhMakani alikuwa na Pesa pia Mkuu!..
Au umesahau kuwa Makani aliwahi kuwa..
Usisahau alikuwa anaDegree si chini Ya Tatu uchumi na sheria zikiwemo na zote alizisome Nje ya nchi ulaya na makelele
- Naibu Gavana Mkuu BOT (Akiwa msaidizi wa Edwin Mtei)
- Mwanasheria wa Serikali
- Exchange control Manager wa BOT
- Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society
- Mkurugenzi wa Bodi ya Madini ya Williamson Diamonds
- Mkurugenzi Bodi ya Tanzania Breweries Limited Taifa
- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege Tanzania. (ATCL)
- Mkurugenzi Bodi ya Benki ya Taifa ya Biashara
USA ni ndumila kuwili, wanacheza na wote mchezo wa "you are either with us or you're against us".Za CCM zenyewe zipoje?
kama ulivyo mbabe kwa manyumbu 🐒CCM wanajifanya wababe lakini kuna mbabe wao😁
Machawa wale
Kwa hiyo ulitakaje tujeze na waarabu wenzenu?USA ni ndumila kuwili, wanacheza na wote mchezo wa "you are either with us or you're against us".
hope wamezungumzia maandamano ya vurugu ya mapanyarodi January 24, na hatua ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa na kampeni ya kusafisha jiji kama tahadhari ya kudhibiti mlipuko wa kipindupindu dar...
[emoji28][emoji28]
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!
Ameenda kwa bwana zakeKikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Mbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa
Dah akili za watuAmeenda kwa bwana zake
Big PointKwani serekali inaona ugumu gani kuleta marekebisho ya haki ?? Kweli karne hii ni ya kulazimisha wakurugenzi wasimamie uchaguzi ? Wakurugenzi ambao wameteuliwa wengine kutoka mitaani kama makada …..
Kuna ugumu gani kuwa na Tume huru ya uchaguzi ….kwani wakiamua kupenyeza watu wa TISS bado watashindwa …au hawawaamini hata TISS >>?
maandamano ya Nyumbu na panyarodi yamewahi kua ya amani tangu lini 🐒Maandamano ya amani yamekuwaje ya vurugu kabla hata hayajafanyika?? WATU WENGINE !!. Maandamano yanaruhusiwa kisheria kama Tanzania hatuyataki tufute badala ya kuwa na sheria ambazo sisi wenyewe hatutaki kuzitekeleza sasa maandamano kisheria yanatakiwa kuwa ya nini hasa?