Akili za mwanadamu ziko kichwani mwake, ila kama unamkuta mwanadamu akili zake ziko sehemu za siri basi tegemea uchangiaji wa hoja wa aina hii.
Unataka tuwarudishe mafisadi wa lumumba? Nikikwangalia kwa mbali nakuona kama kamchwa tu wewe mikono ya sox
..... Hujielewi hata kidogo.! Eti anatumbua hela za chama. Hahahaha. Ungejua mbowe ana hela kuliko hata chama
Mbowe na John Mnyika hawawezi kuwa rais kwa sababu hawana degree.
Anapeleka watu dubai kutalii nao
Siyo kujikojolea tu wengine wanapatwa na kale ka ugonjwa kabisa
Tatizo lako unasoma katioba ya chama kupitia makalio ndio maana huwezi ona tatizo
..... Hujielewi hata kidogo.! Eti anatumbua hela za chama. Hahahaha. Ungejua mbowe ana hela kuliko hata chama
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini.
Kati ya watu maarufu waliozungumza katika kipindi maalum cha VOA kuhusu upinzani Tanzania ni Professor Gaudence Mpangala na mwasisi wa mageuzi Dr Emmanuel Makaidi.
Aliyeonekana kung'ara katika wanasiasa wa upinzani ni Mwanasiasa Tajiri mwenye ukwasi mkubwa Freeman Aikael Mbowe.
Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa amependekezwa kutokana na sababu kubwa mbili;
Moja ni Kwa jinsi alivyokiongoza chama chake cha Chadema kutoka chama kidogo kabisa cha upinzani kuwa chama kikuu cha upinzani kinachokaribia kabisa kupokonya mamlaka ya dola.
Pili ni kutokana na uvumilivu wake.Imedaiwa Freeman Mbowe ndiye mwanasiasa mvumilivu zaidi Tanzania.Kiongozi huyu amedaiwa kupitia vipindi vigumu sana ndani ya chama chake kwa baadhi ya viongozi wake kurubuniwa na watawala na kuanzisha makundi ya uasi.Imeelezwa Freeman Mbowe mara zote amekuwa mvumilivu na kuwapa nafasi ya kujirudi maadui zake.
Tukio lililoelezwa la karibuni zaidi ni Uasi uliiingozwa na wanasiasa watatu ndani ya chama chake Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.Waasi hawa walipanga kumpora mamlaka kwa njia ya mapinduzi na vijana wao walimtukana kila aina ya matusi Freeman Mbowe kupitia mitandao ya kijamii.
Hata hivyo ingawa mpango wao uligundulika mapema bado Freeman Mbowe aliwapa nafasi ya kujirudi na kuomba radhi.Ingawa walikataa kuomba radhi na kusonga mbele na hatua yao mpaka kamati kuu ilipowafukuzilia mbali.
Kuthibitisha uvumilivu wa Freeman Mbowe wanasiasa hao waliofukuzwa walikimbilia ACT na ikiwa hata haijapita miezi sita tayari wamefukuzwa kwa aibu kubwa kutoka ACT kwa madai yale yale waliyofukuzwa nayo Chadema.
Kuna uwongo hata moja hapo niliposema???
Mbowe akiwa rais wa nchi hii naihama,labda lipumba au slaa au lissu ndani ya ukawa ila sio mbowe.
Tawireeee...Freeman ni kiongozi mzuri...napenda navyoweza kujenga hoja...kumbukumbu ya kariibu kabisa ni kwenye bunge lililopita alivyokuwa akitoa hoja murua kwenye sakata la ESCROW.
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini.
Kati ya watu maarufu waliozungumza katika kipindi maalum cha VOA kuhusu upinzani Tanzania ni Professor Gaudence Mpangala na mwasisi wa mageuzi Dr Emmanuel Makaidi.
Aliyeonekana kung'ara katika wanasiasa wa upinzani ni Mwanasiasa Tajiri mwenye ukwasi mkubwa Freeman Aikael Mbowe.
Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa amependekezwa kutokana na sababu kubwa mbili;
Moja ni Kwa jinsi alivyokiongoza chama chake cha Chadema kutoka chama kidogo kabisa cha upinzani kuwa chama kikuu cha upinzani kinachokaribia kabisa kupokonya mamlaka ya dola.
Pili ni kutokana na uvumilivu wake.Imedaiwa Freeman Mbowe ndiye mwanasiasa mvumilivu zaidi Tanzania.Kiongozi huyu amedaiwa kupitia vipindi vigumu sana ndani ya chama chake kwa baadhi ya viongozi wake kurubuniwa na watawala na kuanzisha makundi ya uasi.Imeelezwa Freeman Mbowe mara zote amekuwa mvumilivu na kuwapa nafasi ya kujirudi maadui zake.
Tukio lililoelezwa la karibuni zaidi ni Uasi uliiingozwa na wanasiasa watatu ndani ya chama chake Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.Waasi hawa walipanga kumpora mamlaka kwa njia ya mapinduzi na vijana wao walimtukana kila aina ya matusi Freeman Mbowe kupitia mitandao ya kijamii.
Hata hivyo ingawa mpango wao uligundulika mapema bado Freeman Mbowe aliwapa nafasi ya kujirudi na kuomba radhi.Ingawa walikataa kuomba radhi na kusonga mbele na hatua yao mpaka kamati kuu ilipowafukuzilia mbali.
Kuthibitisha uvumilivu wa Freeman Mbowe wanasiasa hao waliofukuzwa walikimbilia ACT na ikiwa hata haijapita miezi sita tayari wamefukuzwa kwa aibu kubwa kutoka ACT kwa madai yale yale waliyofukuzwa nayo Chadema.
Why not mnyika?