Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Hivi kumbe jamaa kichwa yako imejaa mavi eeh yan kufanya mikutano ni kuvunja sheria je unaweza kutuambia sheria ipi hiyo inavunjwa kwa mujibu wa katiba
 
Reactions: BAK
Mh.Mbowe na wenzake wana hulka kama wale wanaoandamana kule AFRIKA YA KUSINI....

Kinachoshangaza hatuwaoni watoto wake katika makongamano na maandamano wanayoitisha kila uchao....🤣
 
Mbowe hahamasishi wafuasi wake kuvaa barakoa hivyo ni sehemu ya Tatizo, nadhami mama apige marufuku ya mikutano ya kisiasa kwani ni chanzo cha kusambaza Corona
 
John wakatimwingine itumie vyema akili yako ili ikupe manufaa zaidi
John Yuko sahihi.....washauri Bavicha wazitumie vyema akili zao....umeusikia ushauri wa mbunge wao wa viti maalum mh.Conchester Rwamlaza?!!!
 
Mbowe hahamasishi wafuasi wake kuvaa barakoa hivyo ni sehemu ya Tatizo, nadhami mama apige marufuku ya mikutano ya kisiasa kwani ni chanzo cha kusambaza Corona
Huwa nyie simnasema hamtishiki na kakorona?au sio nyie
 
John Yuko sahihi.....washauri Bavicha wazitumie vyema akili zao....umeusikia ushauri wa mbunge wao wa viti maalum mh.Conchester Rwamlaza?!!!
Usahihi wake uko wapi,ama matumizi mabaya ya akili.
 
Hulazimishwi kuchanga tunaojua halo zetu tutamchangia siyo lazima kupata mchango toka kwako
 
MIMI NAJIELEWA LAKINI VIONGOZI WA KISIASA WAWASIMIAMIE WATU WAO KUWA SALAMA KWA KUWAPA ELIMU
Yupi anaetoa elimu,kusema ni kakorona,na msitishike,au dawa ni hatari.
 
Mbowe ni mwenzetu huyo hatuna tatizo nae kwa sababu anaturahisishia kazi ya kuwajua wapinzani wa kweli na wasiokuwa wa kweli. Sema watakaounga tela eti wanamuunga mkono mwenyekiti ndo itakula kwao, maana imeandikwa kila mchuma janga hula na wa kwao. Kumbuka wakati wa kuanzisha vyama vingi kulikuwa na makubaliano maalum kati ya watu wa vitengo na wenyeviti wa vyama vinavyoitwa vya upinzani. Kwahiyo kwa mwenye akili tayar ashajua Mbowe ni mtu wa aina gani ndan ya chama, ukijumlisha na kilichotokea mwaka 2015 kuwaleta Lowasa na Sumaye ndan ya chama ili kuvuruga ndoto za wapinzani wa kweli kushika dola.
 
Itaje hiyo sheria we mnyaturu
 

Uko nje ya mada mkuu.

Ulichoandika hapo ni katiba unayoitaka wewe. Wengine nao wanataka tofauti.
Kwenye hali kama hii kiungwana:

"Utaratibu huwa mazungumzo, maridhiano na kura ya maoni huamua kwa kutoa ridhaa."

Tulipo ni kwenye kutaka mchakato wa katiba kuanzishwa kwa sababu kuna wanaoona kuna mapungufu ya msingi.

Kwanini nyinyi kuinyanyapaa hatua hii? Kwani kama hatua hii hamuitaki basi haiwahusu. Yanini basi kuishadaddia hivi?

Kwani inawawasha vipi basi hali haiwahusu?

Bwana Jumbe Brown mwongozo wako tafadhali.
 
Mbowe atiwe nguvuni kwa sababu ya kufanya mikutano ambayo ni halali kwa mujibu wa Katiba ya JMT.
Kazi ya chama cha siasa ni nini kama sio mikutano?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu.....

Kwani serikali 2 za JMT zinaweza kuhojika na kutaka maridhiano juu yake bila ya kupelekea kuvunjika kwa muungano wetu adhimu?!!!

Tuanzie hapa komredi..
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 


aNAONGELEA KATIBA TA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASIA (CHADEMA) AU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…