Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Katiba iliyopo ni bora.....

Ufisadi kamwe hautatoweka juu ya mgongo wa ardhi....kazi ya serikali zote ni kupambana/kupunguza ufisadi.....

Pamoja na US kuwa kinara dhidi ya ufisadi ,bado hawajaufuta....rejea kashfa za WATERGATE ,kashfa za mdororo wa uchumi(economic recession) 2008 na makampuni yao ya LEHMAN BROTHERS,AIG et Al!
 
Huyu anataka kuivuruga Amani ya hii nchi akamatwe mara moja
 
Kwa kifupi ni taarifa kwa Polisi ili wao wajipange kwa usalama nakutoa ushauri wanamna ya eneo latukio.
Hivyo Polisi wanatakiwa kujibu tumepokea taarifa yenu.
Waende kulinda au wasiende ninamna ya mkutano unalenga nini.

Hata mikusanyiko ya kwaya hutoa taarifa Polisi wanakuwa wapo
 
Ety kofia maarufu ya ukombozi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chadema mnajua kuji-brand vizuri
🀣🀣Hao ni wazee wa "pang'ang'a"

Labda ukombozi wa MBOWE na familia yake inayokula "bata" mamtoni......
 
Alianza vizuri lakini keshawavuruga wapiga kura kwa kuwalazimisha wachajwe wote.
 
Masikini ni mtu pekee anayeshabikia mambo ya kisenge kama wewe
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.
 
Bwashee matusi hayatakuletea katiba mpya...
Mambo yakisenge yalifanywa na Mwendawazimu, na kwa bahati mbaya kawaambukiza UKICHAA wake MaCCM wote. Mpo mpo tu na bi,Chokochoko wenu mpunapuyanga tu. Pumbavu kabisa.
 
🀣🀣
Yaani kama Mdude Nyagali na baadhi ya "popoma wa bavicha" wangelijua hilo....WANGEMKIMBIA MH.MBOWE ha ha ha ha WAJINGA NDIO WALIWAO.....
Mbowe ametumia ujinga wa wanachama wake kujijengea mazingira mazuri ya kimaisha na kisiasa. Pia ametumia umasikini wao kama silaha au njia ya kuuza utu wao kwake. Wengi ni njaa ndo zinawasumbua.
 

Twende pole pole mkuu. Haya hapa chini ni kweli kutokea kwenye uliyoyaandika na niliyoyaandika:

1. Muungano wetu ni wa nchi mbili zilizokuwa na uhuru kamili.
2. Muungano huu ni kwa maslahi ya nchi zote mbili.
3. Muungano huu ni kwa ridhaa ya wananchi wa nchi mbili hizi.
4. Muungano huu hata sasa unayo ridhaa ya wananchi wa nchi mbili hizi.
5. Muungano huu ni wa hiari wala si wa shuruti.
6.Ni jambo la kawaida kuzipitia kero zilizopo kwenye Muungano kama wa kwetu tokea pande zote mbili ili kujiimarisha.

Pana tatizo lolote popote hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…