Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

kwa hiyo moja kwa moja hii hapa ni danga toto, mwisho wa siku anajifanya kujiengua wakati hana sifa hata za kuwa rais wa JMT.
Mimi binafsi nashangaa sana,hivi kama jiwe kaweza nani atashindwa??
 
June 15, 2020

Mbowe aandikiwa barua ya kutia nia urais 2020

 

Wewe ni mwongo na mzushi 100%....

Sijui kwa mission yako ya kubeba na kusema uongo unataka kua - achieve nini tu....

Mbowe katoa tamko leo na KAMWE HAJATIA NIA HIYO na HANA MPANGO HUO kwani anaamini waliokwisha tia nia na watakaoendelea mpaka muda uliotolewa wanatosha na anaamini ni wazuri na kufaa...

Yeye anataka kutumia muda wake kujenga na kuimarisha chama pamoja na kuongoza mchakato wa chama kupata wagombea wazuri kuanzia udiwani, ubunge na Urais...

Video hapa chini:
Your browser is not able to display this video.
 
Lumumba mpaka sasa wamesha changanyikiwa kuona kuwa kutia nia kugombea Urais siyo dhambi kuu kama ambavyo CCM Mpya wanawaaminisha wana CCM na waTanzania.

CCM Mpya waruhusuni wanachama wanaofikiri ni wagombea bora , hofu ya nini? Kama kweli demokrasia ipo ndani ya CCM Mpya basi toeni kisingizio cha utamaduni sijui mazoea na desturi yenu mruhusu demokrasia ndani ya chama chenu.
 
CHADEMA ni waigizaji. Mpaka sasa hivi uwezi jua wamepanga nini na wataendelea kuigiza nini. Tuvute subira. Muda ni jibu.

Una problem wewe sio bure...

Waigize kitu gani wakati wenzio wanafanya?

Watu "wanatia nia" za kuwania Urais wa TZ halafu wewe unasema wanaigiza!!!???

Mbona sijakuelewa...
 
Huko kwa DJ ndipo tulituma lidege letu kutuletea tiba ya corona. Hawa ma Djs wanaweza sana kuendesha nchi.
 
Kwani Magu ana sera ?😂😂😂😂
 


Ungesubiri badala ya uzushi
 

Good for you.

Shida yako ni nini?
Sisi tuna yetu na nyie CCM chini ya yesu wenu wa chattle mnayenu.
Fanya yako kitimoto wewe
 
Tundu lissu anatosha
Mgombea urais na Mwenyekiti wa chama ni vitu viwili tofauti
 
Hizi ndio Political Calculations, lumumba endeleeni kupiga kelele tu.
 
Chifu Mbowe, hadi akiwa kaburini mzimu wake utagombea
Nina mshauri Mhs Mbowe asigombee Urais bali awatengeneze hao vijana, mmoja wao ateuliwe na chama kugombea Uraisi!!
Itapendeza saana akijikita kujenga chama, kiwe imara kuhimili mikiki ya CCM!!
Ni ushauri tuu.
Mbarikiwe!!
 
Sasa kwanini chadema mnafanya usanii? Acheni wenye Nia ndio waombe kuteuliwa achaneni na huyo msanii yeye kila kitu kuigiza tuu. Vp maigizo ya kushambuliwa yamefikia wapi?
 
Kwani akigombea lazima apitishwe? So mchujo utafanyika? Nashauri chadema waweke mdahalo Wa wagombea wote live, wananchi tuchuje na wanachadema kiujumla.
Hizo ni siasa za ndani ya chama, mdahalo uje kitaifa kwa wagombea wa vyama vyote!!
Je mko tayari kufanya hivyo??
 
Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
Hii ni katiba ya CCM, iliwekwa ili kumzuia Lyatonga kugombea urais 1995 kupitia CCM ndo akahama akagombea kupitia NCCR Mageuzi. Hata Mbowe pamoja na zero Yake 2005 aligombea kupitia CDM.
 
Aliahidi kutoa taarifa rasmi ya kuvamiwa pale Dodoma pindi atakapotoka hospitali. Ameshatoa hiyo taarifa?
Hawezi kutoa taarifa yoyote. Familia haimwamini Tena. Majirani wanasema mwanae kasusa kaondoka sababu kwanini baba Yake kaumia taarifa hakumpa kakimbilia nyumba ndogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…