Mimi binafsi nashangaa sana,hivi kama jiwe kaweza nani atashindwa??kwa hiyo moja kwa moja hii hapa ni danga toto, mwisho wa siku anajifanya kujiengua wakati hana sifa hata za kuwa rais wa JMT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi nashangaa sana,hivi kama jiwe kaweza nani atashindwa??kwa hiyo moja kwa moja hii hapa ni danga toto, mwisho wa siku anajifanya kujiengua wakati hana sifa hata za kuwa rais wa JMT.
Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take.
Kama kweli mh Mbowe ana nia ya dhati basi ni rasmi sasa Chama kitampitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyilo cha Urais, sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
Tundu Lissu ajiandae upya kwa awamu nyingine.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
Ushawishi wake kwa watanzania ukoje?
Ana sera zenye nguvu za kushindana na Magufuli.?
Mwisho nitoe pongezi kwa Chadema kwa kuwa na Democrasia imara.
CHADEMA ni waigizaji. Mpaka sasa hivi uwezi jua wamepanga nini na wataendelea kuigiza nini. Tuvute subira. Muda ni jibu.
Huko kwa DJ ndipo tulituma lidege letu kutuletea tiba ya corona. Hawa ma Djs wanaweza sana kuendesha nchi.Africa tutakuwa watu wa ajabu sana,ni nchi moja tu barani Africa inayoongozwa na DJ, nayo ni Madagascar chini ya andry Rajoelina sasa naona DJ mbowe anataka atembelee nyota ya DJ mwenzake wa Madagascar.
Anajidanganya,Tanzania bado sana hatujafikia kiwango cha kuongozwa na DJ ,yeye akafufue tu club billcannaz yake,huko atapiga mpunga mrefu sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
[emoji848][emoji848]Navuta picha siku hiyo anatangazwa Mbowe kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani Magu ana sera ?😂😂😂😂Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take.
Kama kweli mh Mbowe ana nia ya dhati basi ni rasmi sasa Chama kitampitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyilo cha Urais, sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
Tundu Lissu ajiandae upya kwa awamu nyingine.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
Ushawishi wake kwa watanzania ukoje?
Ana sera zenye nguvu za kushindana na Magufuli.?
Mwisho nitoe pongezi kwa Chadema kwa kuwa na Democrasia imara.
Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take.
Kama kweli mh Mbowe ana nia ya dhati basi ni rasmi sasa Chama kitampitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyilo cha Urais, sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
Tundu Lissu ajiandae upya kwa awamu nyingine.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
Ushawishi wake kwa watanzania ukoje?
Ana sera zenye nguvu za kushindana na Magufuli.?
Mwisho nitoe pongezi kwa Chadema kwa kuwa na Democrasia imara.
Hivi kuna chama cha upinzani cha kuishinda CCM kwa sasa? Kwa mikakati ipi hasa? Mwaka 2015 walibadilishia gia angani, wakakaribisha mafisadi ndani ya umoja wao wa UKAWA. Wananchi waliwaunga mkono sana mwaka ule, ila wamewavunja moyo waliowaunga mkono kwa kufanya maamuzi ambayo hayakuwa na tija. Waache tamaa na ubinafsi
Wakae chini, waangalie walipojikwaa na kupanga mikakati thabiti ya muda mfupi na mrefu ya kushinda uchaguzi. Kukishinda chama kilicho na dola na ambacho kimekaa madarakani kwa miaka mingi si jambo rahisi.
Nina mshauri Mhs Mbowe asigombee Urais bali awatengeneze hao vijana, mmoja wao ateuliwe na chama kugombea Uraisi!!Chifu Mbowe, hadi akiwa kaburini mzimu wake utagombea
Sasa kwanini chadema mnafanya usanii? Acheni wenye Nia ndio waombe kuteuliwa achaneni na huyo msanii yeye kila kitu kuigiza tuu. Vp maigizo ya kushambuliwa yamefikia wapi?Una akili sana.Mbowe hana mpango wa uraisi bali lengo ni kuongeza hamasa na pia kuonyesha demokrasia ndani ya CHADEMA ilivyo na hasa pale atapokosa hiyo nafasi yeye kama mwenyekiti na huo utakuwa ni uthibitisha kuwa yeye si dikteta kama inavyosemwa na ma-CCM na ndio maana kakosa licha ya yeye kuwa mwenyekiti.
CHADEMA ina watu very strategic katika kufanya siasa.
Hizo ni siasa za ndani ya chama, mdahalo uje kitaifa kwa wagombea wa vyama vyote!!Kwani akigombea lazima apitishwe? So mchujo utafanyika? Nashauri chadema waweke mdahalo Wa wagombea wote live, wananchi tuchuje na wanachadema kiujumla.
Hii ni katiba ya CCM, iliwekwa ili kumzuia Lyatonga kugombea urais 1995 kupitia CCM ndo akahama akagombea kupitia NCCR Mageuzi. Hata Mbowe pamoja na zero Yake 2005 aligombea kupitia CDM.Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
Lichama ndo limeshaparaganyika hivyo.Kweli chadema sasa wanatuchanganya sana sisi makada,,hatujui tena tumsakame nani,,inabidi tusubiri kwanza tuone
Hawezi kutoa taarifa yoyote. Familia haimwamini Tena. Majirani wanasema mwanae kasusa kaondoka sababu kwanini baba Yake kaumia taarifa hakumpa kakimbilia nyumba ndogo!Aliahidi kutoa taarifa rasmi ya kuvamiwa pale Dodoma pindi atakapotoka hospitali. Ameshatoa hiyo taarifa?