Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Uhuni mtupu. Ipo siku watalipia uonevu huu.Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
Loudly and 100 times.#FreeMbowe
This is logical non sequitur on top of a lazy generalization on top of some sadist Darwinian predator prey dynamics propably perpetuated by some innate systemic Malthusian malfeasance fueled by a societal cognitive dissonance.Uhuru ni kuwachekea wale majamaa walio tangaza kua wana nyembe ya kumnyolea bim kubwa.
Magufuli alikuwa dikteta anawaonea Chadema na sasa Mama samia nae dikteta anawaonea Chadema, atakuja rais mwengine pia atakuwa dikteta atawaonea Chadema.Kudai katiba mpya ni chokochoko? hizo katiba mpya Huko nyuma zilidaiwa kwa chokochoko?inaelekea wewe ni mnufaika wa uonevu wa mama kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu sasa huoni kuwa manyanyaso uonevu kwa chadema ni udikiteta
Naye kazidi! Anajifanya alibaguliwa kwa nini anakwenda kanda ya ziwa na siyo huko uchagani? Aende akafanye mkutano Moshi mjini!Kwanin polis wanahangaika nao kumbuka katiba inaruhusu midahalo na mikutano ya vyama vya siasa
Mhuuuuu! umeshindwa kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja personally. Na Mnyika jana alishindwa kujibu hoja za waandishi wa habari na badala yake akapandisha hasira na kuanza kubwabwaja ovyo. Mbowe naye juzi hivyo hivyo akaanza kuvishambulia vyombo vya habari. Sasa hiyo hoja ya katiba mpya mtaiweza kweli? Hoja ya katiba mpya inajibiwa kwa mrorongo wa makongamano na maandamano ni akili timamu kweli? Unakaribishwa kuja tena kunitukana kwani ndicho akili zenu inachokijua na mlichosomeshwa na huyo mnayemuita Mwamba.Dr ZWAZWA kwa ufinyu wa akili yako huwezi kuelewa hii kitu imekuzidi kimo sana. Endelea kutumia akili ya kushikiwa.
Budget yetu tegemezi na inategemea mikopo na misaada toka nchi wahisani. Wabunge walikuwa.Hakujua kwa nini Mwendazake aliwarubuni covid 19 apate fedha za EU hajui?Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamwanalalamikaika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Mhuuuuu! umeshindwa kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja personally. Na Mnyika jana alishindwa kujibu hoja za waandishi wa habari na badala yake akapandisha hasira na kuanza kubwabwaja ovyo. Mbowe naye juzi hivyo hivyo akaanza kuvishambulia vyombo vya habari. Sasa hiyo hoja ya katiba mpya mtaiweza kweli? Hoja ya katiba mpya inajibiwa kwa mrorongo wa makongamano na maandamano ni akili timamu kweli? Unakaribishwa kuja tena kunitukana kwani ndicho akili zenu inachokijua na mlichosomeshwa na huyo mnayemuita Mwamba.
Nani atawaamini polisi wajinga kiasi hiki?Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
====
UPDATES;
=====
TAARIFA KWA UMMA
JESHI LA POLISI LAMTUHUMU MWENYEKITI WA CHAMA
MHE.FREEMAN MBOWE NA "MAKOSA YA UGAIDI"
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe alifikishwa Dar es
Salaam jana majira ya saa tatu usiku chini ya ulinzi wa Polisi , walimpeleka nyumbani kwake Mikocheni Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi ambao ulichukua takribani saa mbili na nusu.
Baada ya upekuzi huo Polisi waliondoka na Kompyuta mpakato (Laptop) na Vishikwambi (tablets) za watoto wake ,Kompyuta mpakato moja ya kwake na modem ya Internet Kwa ajili ya uchunguzi wao.
Leo majira ya saa Saba mchana Polisi walimfikisha Mhe. Freeman Mbowe Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano na kuchukua maelezo yake.
Polisi walitaka maelezo kutoka Kwa Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na kosa waliloliita 'KULA NJAMA ZA KUTENDA KOSA LA UGAIDI'
Baada ya maelezo hayo ya Polisi Mhe. Freeman Mbowe alitumia haki yake ya kisheria na aliamua kutokutoa maelezo yoyote Polisi kwa mujibu wa Sheria.
Baada ya maelezo hayo Polisi wamemrejesha Mhe. Freeman Mbowe katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay ,Jijini Dar es Salaam.
Aidha , viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Mwanza wameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi na baadhi yao walifanyiwa upekuzi nyumbani kwao na vyumba vya hotel ambako walikuwa wameshukia .
Waraka wa Mbowe Kwa Watanzania
Mwenyekiti Taifa Mhe. Freeman Mbowe ametuma waraka kwa Watanzania kama ifuatavyo;
"Hatimaye madai ya Katiba Mpya yamenisababishia kesi ya ugaidi, nipo tayari kwa mashtaka ya kuchongwa siogopi.
Ninaamini Dunia itaujua ukweli wa kile kinachoendelea Tanzania na kile tunachokipitia Watanzania.
Lakini pia itajua ukweli juu ya makosa haya ya kuchongwa.
Natoa wito kwa watanzania kuendeleza mapambano, haki hutafutwa” Mhe.
Freeman Mbowe.”
Imetolewa leo Alhamisi tarehe 22 Julai, 2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Na hatomboiSamia will be the worst President over. What a shame.
Taja mfumo UPI unataka ,watu 300 kwenye kongamano lakini watu 5000 ruksa waingie uwanjani kutazama mpiraPia taasisi hizo hizo zitatambua kuwa kumbe jpm hakua anakosea kuhusu huu upinzani uchwara, tatizo ni upinzani njia wanazotumia kumbe sio mfumo
Tanzania is not ready to tolerate any activities of terrorist under the cover of political freedom.The world is looking....
Kwani tangu tupate misaada tulisha faidika na nini;kama si taifa kudumbukia katika lindi la umaskini,nieli tusipate hiyo misaada labda tunaweza kujikomboa kifikira,tukaanza kutumia rasmali tulizopewa na Mungu,na tukavuka, misaada imetulemaza akili sana Watanzania, maana pasipo msaada tunaona atuwezi ishi.Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!
1)USAID
2)DANIDA
3)NORAD
4)GTZ
Na mengineyo?!!
Ahaaa, nchi kwenda vizuri ni kuwaacha Chadema wapige kelele na kupayuka wqnavyotaka?Nchi ilikuwa imeanza kwenda vizuri lakini wajinga wachache kwa masilahi yao badala ya masilahi ya kitaifa wameamua kumshauri mama afanye udikiteta wapate kutimiza lengo lao, mama kuwa makini na washauri wako maana sasa wanaenda kukuharibia sifa zako zote