Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nenda Dodoma kaandamane kesho, sio kujificha humu JF ukiandika porojo kila siku.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Dodoma kaandamane kesho, sio kujificha humu JF ukiandika porojo kila siku.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Nasikia alifanya saa tatu kasorobo!Ni ile kesi ya mwaka jana inarudiwa au? Na huo ugaidi aliufanya saa ngapi ? na wapi ?
Uwaache wabambike kesi siyo? Unanufaika nini pindi Polisiccm wakiwabambikia kesi wapinzani?Tuwaache polisi wafanye kazi yao.
Nenda Dodoma kaandamane wewe, sio kukaa hapa unapiga mayowe.Uwaache wabambike kesi siyo? Unanufaika nini pindi Polisiccm wakiwabambikia kesi wapinzani?
Mataga hawataki naelewa vitu vidogo hivisamia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Chato kaburi lina majani kibao kapalilieniNenda Dodoma kaandamane wewe, sio kukaa hapa unapiga mayowe.
Tuliyategemea haya mambo ya vikwazo enzi za magufuli lakini hakuna cha vikwazo wala nini, hivi Kuna ukandamizaji wa kuzidi Kama ule wa enzi zile?Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana
Nenda wewe kapalilie. Sasa unaniambia mimi ili iweje?Chato kaburi lina majani kibao kapalilieni