Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Mimi sio mwanasiasa ila ni mpenda mabadiliko hasa ktk katiba yetu ya Sasa Mana ina mapungufu mengi na haiendan na mfumo wa vyama vingi.

Kosa la Mbowe na wenzake ni nn hadi kuwekwa kizuizini?
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISSU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
 
Ni swala la muda tu,huko mwanza kumegundulika genge la vijana wenye itikadi za kigaidi na uasi juu ya serikali.

Uchunguzi bado unaendelea na soon mtatangaziwa,msione Rais kachachamaa mkadhani ni easy tu,watu wamemgusa pabaya
 
Ni swala la muda tu,huko mwanza kumegundulika genge la vijana wenye itikadi za kigaidi na uasi juu ya serikali.

Uchunguzi bado unaendelea na soon mtatangaziwa,msione Rais kachachamaa mkadhani ni easy tu,watu wamemgusa pabaya
 
Mataga hawataki naelewa vitu vidogo hivi
 
Reactions: BAK
kweli nimeamini siku za mwizi ni 40!
Mbowe na wenzake 40 zao zimetimia.
 
Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana
Tuliyategemea haya mambo ya vikwazo enzi za magufuli lakini hakuna cha vikwazo wala nini, hivi Kuna ukandamizaji wa kuzidi Kama ule wa enzi zile?
 
Imetimia unabii, tafsiri yake Daniel. Lile sanamu ulilo ona ni falme, nazo zitapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…