Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali


Serikali ya Samia kama ya dhwalimu mwenzake anaendelea na kesi za kubambikiza.

Walisema madaraka hulevya.

Waliokuwa wameona umuhimu wa mihimili 3 huru hawakuwa wajinga na ndiyo maana tuko tayari mtuuwe tukiidai katiba mpya.

Aibu kwenu sana Simoni Siro na kwako Suluhu Hasani.


Udhwalimu haujawahi kuishinda haki.

Pumzika kwa amani Mwalimu Nyerere.
 
Sad option ikawa hamna sasa
 
Waache wasubiri jumuiya za kimataifa
 
Atengwe Kisa Mbowe na wapuuzi wake au? Pole Sana
 
Lipa tozo mkuu ndio njia ya kujikwamua
 
Vipi kuhusu kumnyoa na wembe ule ule???

Au zile zilikuwa bangi tu??
Mdude Nyagali kweli sakala....

Yaani hivihivi uipokonye CCM ule wimbo wa hayati Komredi John Komba ?!!

"Wembe wembe ,wembe ni uleule Ushindi,wembe ni uleule UMOJA"

#KidumuCCM
#SiempreSSH👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…