digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Gaidi mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamko hili limetolewa na polisi View attachment 1863661View attachment 1863660
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ahaaa, nchi kwenda vizuri ni kuwaacha Chadema wapige kelele na kupayuka wqnavyotaka?
Who cares? Only a fool. Everybody will get what he/she deserves.Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
Ulifutiwa KESI zako....
Ukalipwa FEDHA zako....
Bado tu....
We umo tu ....
Tena "umo" kwa vitu visivyo msingi...
Badala ya KULIJENGA TAIFA ,NA KUWAACHA VIJANA WALIJENGE TAIFA na kuwa na uchumi bora ndani ya femili zao Kama ULIVYO WEWE...kinyume chake UNAWAHAMASISHA WAFANYE FUJO NA KUPELEKEA NCHI KUKOSA UTULIVU.....
#KaziIendelee
#NchiKwanzaSiasaBaadae
Waache wasubiri jumuiya za kimataifahahahahahaha, jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili...wale wenzenu wapo kwa ajili ya maslahi yao wakihakikishiwa maslahi yao wanaweza hata kumuweka Mbowe kwenye kundi la Alqaeda na kushirikiana na hao hao CCM.....waulizeni wenzenu Muslim brotherhood baada El sis kuahidi kuilinda Israel na maslahi ya USA....hahahahahahahaha huu ndio ninaouita utoto..
ushajiuliza kwanini Paka na M7 wanafia madarakani na hawaguswi?... JPM ni kwa vile tu naye alikuwa jeuri mpaka kwenye maslahi yao japo ilikuwa 50/50....eti jumuiya ya kimataifa komaeni kudai mnachohitaji....
Vipi kuhusu kumnyoa na wembe ule ule???Kumbe mama ana roho mbaya kiasi hiki! Hivi hawa watu hawajui kuwa hapa tunapita, sote ni mchanga tu
Atengwe Kisa Mbowe na wapuuzi wake au? Pole SanaKwa kazi hii aliyoianza Samia atakapoanza kutengwa kimataifa na kunyimwa misaada na nchi mbalimbali ataweza kuhimili vishindo vyake kama Magufuli alivyokuwa anafanya mambo yanapokuwa Magumu alikuwa anaingia mitaani na silaha za kivita kunyang'anya kodi kama jambazi? .
Lipa tozo mkuu ndio njia ya kujikwamuaUnaandika upuuzi MTUPU.
Kama mnajua kwamba wako kwa ajili ya maslahi yao iweje tena mpitishe bakuli la matonya? Na wanapogoma kutoa mnaanza kulia lia!? Serikali ya kipuuzi hata vyoo mashuleni wanangoja nchi za wafadhili wakati huo huo wanajisifu na V8!!!
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema nchi inapita kwenye kipindi kigumu kutokana na wafadhili kupunguza misaada.
Jumbe BrownVita hii si ndogo hata kidogo, wote walio msitari wa mbele kuwaogoza wananchi wajitoe kimwili na Kiroho.
Mdude Nyagali kweli sakala....Vipi kuhusu kumnyoa na wembe ule ule???
Au zile zilikuwa bangi tu??
Tunashukuru corona kufanya kazi yake kwa usahihi!mnajidai hamjui?muulizeni lissu!