Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Na wewe unauamini huo upumbavu wa polisi??
 
Katika "political arena" wapo wanasiasa wenye kufanya "active politics" na pia wapo wenye kuendesha siasa tu kama vile ambavyo ilivyo kwa "salesman"s puff" watu ambao huweza kuropoka mambo makubwa na mazito yenye kukosa uhalisia, ni watu ambao hoja zao hazipaswi kutiliwa maanani. Urais ni taasisi nyeti ambayo inaweza kuchuja habari na hata kutambua "seriousness" iliyopo nyuma ya matamko ya kisiasa na hata ikibidi kuchukua hatua stahiki pale inapoonekana inafaa.

Serikali haiwezi kuhalalisha maamuzi ya hovyo kisa eti mropokaji mmoja katoa matamko yenye makwazo kwa watawala. Ni vyema "polical space" ikawa sawa kwa wanasiasa wote ili kuendesha kwa haki shughuli zao za kisiasa kutokana na matakwa ya katiba, sheria na kanuni zilizopo.

Kubambikia kesi nzito baadhi ya wanasiasa ili kuwafumba midomo ni jambo ambalo halikubaliki hata kidogo. Hoja za kisiasa zinapaswa kujibiwa kisiasa, ni aibu na fedheha kubwa inapotokea zinajibiwa kwa kificho cha nguvu za kijeshi.
 
Little education is very dangerous
 
Mm nimeanza kua na wasiwasi inaweza kua ni mbinu zao kwa kushilikiana na mbowe ili kelele za tozo zifutike,maana naona habari ya tozo kwa sasa hazipo tena kila mtu kaelekeza mawazo kwa mbowe huku tozo zikiendelea kama kawaida,hawa wana siasa sio wakuwaamini sana.

Hebu tujiulize kuhusu hawa wakina halima na wenzeke ukiangalia kwa makini sana ni kama hawa wakubwa wa chama wanajua kila kitu,maana walisema hawa wabunge wataitwa na kamati kuu ili wa hojiwe na hatua sitahiki zitachukuliwa,lakini mpaka leo kimya maisha yanaendelea kama kawaida,hata kwenda mahakamani chama kimeshindwa kelele tu mwisho inakua kimya.
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Magufuli aliuwawa kwani?
 
Na wewe unauamini huo upumbavu wa polisi??
kwa hali hii ya Mbowe na wenzake kupanga Mauaji!! hawa sio binaadamu kabisaa ni zaidi ya wanyama.
Wauaji, wacha sheria ifanye kazi.
watanzania tunataka amani, magaidi waacha wakae huko gerezani.
 
Haki itapatikana tu,hata mfungulie na kosa mauaji kwani mbinu zenu zote na hila kwa chamapinzani zilishavuma siku nyingi.mpelekeni mahakamani kwenye Sheria ambako atapata haki.
 
Jidanganyeni kwa kupoteza muda wa kufikiria kuwa viongozi wa upinzani kuwa wanahusika na mauaji ya magufuli na mwisho wa siku kitaeleweka na wahusika wakajulikana.
 
Binadamu maisha hasomi makosa ya wenzake. Hawa CCM wanavyofanya waelewe mpira ukigeuka wanaweza kuja kufanyiwa wao haya ,

TIME WILL TELL
Gavana assalaam alaykum akhui!

Vipi CHOKOCHO huko?!!

ACT chali tena Jimboni kule....
 
Andika na namba zako za simu halafu jipige picha ukiwa unachuma mboga halafu itume na comments zako
 
kuna mahali mlikosea kulea hii tabia ya kigaidi ikashamiri.
tena walijipenyeza kila mahali bila kujua. wapo ndani ya mfumo wanawatumikia magaidi. Hakikisheni mnasafisha mnyororo wote wa kigaidi.
Wewe mbwa magaidi ni hao CCM wenzako
 
Tuliache jeshi letu la polisi lifanye kazi yake. Kuhusu ukweli na uongo utajulikana mbele ya safari
Mkuu Polisi wanafanya kazi ya ajabu..
Tangu lini mtuhumiwa wa ugaidi akaachwa aendelee na shughuli zake uraiani? Mbowe Kama alikuwa anachunguzwa kwa ugaidi alitakiwa awe ndani na siyo uraiani,
 
Suala la kupunguza gharama za miamala ya simu, gharama pembejro za kilimo, pamoja na mafuta lifanyiwe kazi kwa wepesi huku suala " waleta chokochoko" nalo likifanyiwa kazi.
 
kwa hali hii ya Mbowe na wenzake kupanga Mauaji!! hawa sio binaadamu kabisaa ni zaidi ya wanyama.
Wauaji, wacha sheria ifanye kazi.
watanzania tunataka amani, magaidi waacha wakae huko gerezani.
Amani maana yake unaijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…