Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Na wewe unauamini huo upumbavu wa polisi??aisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!!!
yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.
Tena tunaomba Jeshi letu la polisi lifanye uchunguzi kwa weledi wa hali ya juuu ili mtando wote wakamatwe maaana hawa ndio wanao hatarisha usalama na amani ya Taifa letu.
Sheria ichukue mkondo wake.