Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Wananchi ndo sisi bro, the majority, kinukisheni ndo utajua wananchi ni wapi hasa.Vurugu zipi? Wananchi wapi unawasemea? Hivi Unafikiri wananchi ni wapumbavu kama wewe? Wananchi wanaona wanaujua ukweli acha kuendekeza njaa zako kujinufaisha kupitia uonevu unyanyasaji uovu mateso ya kishamba kwa chadema
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Ukishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye. Vingenevyo unaweza ukafikiriwa kwamba wewe ni mwizi kumbe siyo. Hekima inatakiwa unapotekeleza- mikakati ya kukabiliana na adui/mshindani wako. Amemlazimisha mama kwenda maili nyingi. Ajiandae !
True sayNani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!
1)USAID
2)DANIDA
3)NORAD
4)GTZ
Na mengineyo?!!
True say👍👍Chadema unakwenda mwaka wa 30 huu aina ya siasa ni Ile ile.
Ukiona mtu anarudia jambo lile lile Kwa zaidi ya miaka 30 ambalo halimpi matokeo anayoyataka basi tambua Kuna kasoro za msingi katika mikakati yake.
Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifaKwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
Hahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.Wapiga kura hawakufika 10m, lakini Magufuli aliagiza atangazwe kwa kura 12m+! Kama huamini ingia tovuti ya tume ya uchaguzi kama hayo matokeo yapo.
Kwa hiyo wewe MWEREVU unamaanisha Dr.Mpango alisema wahisani na mashirika ya kimataifa WAMETOA SABABU kuipunguza misaada yao kutokana na SERIKALI kukikandamiza CHADEMA/WAPINZANI na si MLIPUKO WA CORONA ?!!!Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Wewe utakuwa ni mnufaika wa uonevu kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu zote na kujiandikia chochote tu pasipo hata kufikiria kwanza , Tambua kuwa uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wananchi na wapinzani haijawahi kuwa suluhu ya kutawala kwa AmaniLini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!
1)USAID
2)DANIDA
3)NORAD
4)GTZ
Na mengineyo?!!
Mnafanya kitu maksudi mkijua kabisa nini kitatokea na madhara yake mnayajua then mnakuja kutuandikia huku mitandaoni ili iweje? tushazoea sasa na watanzania si wajinga wanaona nani adui anayekwamisha maendeleo yao.Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifa
Minyoo toka mama AAPISHWE wewe hujawahi kumlalamikia chochote humu ndani....Wewe utakuwa ni mnufaika wa uonevu kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu zote na kujiandikia chochote tu pasipo hata kufikiria kwanza , Tambua kuwa uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wananchi na wapinzani haijawahi kuwa suluhu ya kutawala kwa Amani
Wewe ndiyo upo kwenye vijiwe vya kahawa unajidanganya huko ukifikiri wengine ni wajinga kama wewe, mama kashitukia nini? Hakuna cha kugombanishwa hapo wananchi walikuwa poa tu, acheni kutengeneza mazingira ya kujinufaisha kupitia uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani kwa visingizio vya kijinga jinga tuHahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.
Hahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.
Watanzania wapi unawasemea? Kitu gani kimefanywa makusudi? Kulikuwa na vurugu yeyote kwenye konganano? Hakuna Mtanzania mjinga ataona kuna Uadui tokea upinzani zaidi ya kutambua kuwa Mama kaingizwa chaka na nyinyi kwa njia haramu za kishetaniMnafanya kitu maksudi mkijua kabisa nini kitatokea na madhara yake mnayajua then mnakuja kutuandikia huku mitandaoni ili iweje? tushazoea sasa na watanzania si wajinga wanaona nani adui anayekwamisha maendeleo yao.
Kwa hiyo wewe MWEREVU unamaanisha Dr.Mpango alisema wahisani na mashirika ya kimataifa WAMETOA SABABU kuipunguza misaada yao kutokana na SERIKALI kukikandamiza CHADEMA/WAPINZANI na si MLIPUKO WA CORONA ?!!!