Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hata myie mnaofanya "mema" muda wenu ukifika na nyie mnakwenda tu.Huu ujinga wote wanaopanga wana mkataba na mungu? Wataishi milele? Magufuli alifanya vyote vibaya leo hayupo hata yeyote afanyae mabaya ipo siku atakwenda tu
Msitishe watu na kifo