Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka ujinga huko. Kungekuwa hakuna demokrasia ungeweza kupata hata nafasi ya kuandika huo uchafu?samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi
Kudai katiba mpya nivurugu?Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Wewe punguani kweli yaani hiyo mfalme wenu anamtisha rais mnataka rais afanyeje? Si mnasema mtatumia wembe ule ule mnalia lia nini sasa.haka kamama kakianza ushetani Kama magufuli na kenyewe Katafia nadarakani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Bado unang'ang'ania "uzwazwa wako"...Ndani ya mjadala dawa ya SWALI ni JIBU....don't hit around the bush and try to play a smart card ...Sijibu maswali ambayo yako wazi ksbisa. If you don’t know what is going in the country due to lack of democracy then that is your problem not mine.
Wapuuzi kama wewe mnakuja kuandika ujinga ujinga wenu huku kichwani umejaza kamasi. Mtu akiandika kitu usichokijua unaanza maswali ya kipumbavu eti ujibiwe!!! Sifanyi huo upuuzi.
Hao jamaa Wana siasa za hovyo sana.....mimi nilishawaambia chadema waende kwa akili na busara, maza amekuja na nia njema wao watumia hisia badala ya akili, ndio maana magu aliwanyoosha. mtu mpole ukimzoea vibaya anaweza kukufanya kitu mbaya kuliko hata yule anayeongea.
Mabeberu hawajali kuhusu haki za binadamu wala demokrasia labda ushoga tu ndio watakupiga pini.Hata mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC sasa wanaanza kuangazia hilo taasisi za haki za binadamu zote wameona uonevu mateso waliofanyiwa wananchi kule mwanza, hii inaenda kumletea chuki kubwa Mama na itaharibu mazuri machache aliyokuwa kaanza kuyafanya
Alikuwa amekubalika ndio maana mkawa mnamtukana na kusema mtamnyoa sio??Mama alikuwa amekubalika sasa lakini kwa uonevu unyanyasaji uovu mateso waliyofanyiwa wapinzani huko mwanza ni dhahiri mama anaenda kupata chuki kubwa tokea kwa wananchi wapenda demokrasia kote Nchini na Duniani kote
Sisi tulishasema hapo kabla, kwamba muwe na adabu na staha lakini kama kawaida yenu mliloweka mbele ni matusi tu.Washauri wa mama acheni kumpotosha apate kuja kuwa Rais mwanamke wa kwanza Tanzania ambaye amekosa utu na haki za binadamu
Kabisa mkuu kawa Mama wa kambo. Washauri wanamtoa kwenye reli.Nataraji Mama ashangaze watu kwa maamuzi ya haraka kulinda na kujenga heshima yake.Piga chini IGP,RC Mza.Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
kama hatukunyimwa misaada wala hiyo mikopo na fagio la chuma halikupita kipindi cha Magu aliewaendesha wapinzani mpaka wakakimbia nchi basi kwa huyu mama dont hold ur breath my brothersamia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]#FreeMbowe