Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

CCM ni chama cha Mapaka
AABSll.jpg
 
Wananchi ndo sisi bro, the majority, kinukisheni ndo utajua wananchi ni wapi hasa.
Unapiga kelele hapa ,na kujitutumua,siku ya tatu hii haujalipwa buku 7...eti wananchi ndio nyinyi...WEZI WAKUBWA,MAJAMBAZI YA KURA..PAMBAFF
 
Ukishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye.

Vingenevyo unaweza ukafikiriwa kwamba wewe ni mwizi kumbe siyo. Hekima inatakiwa unapotekeleza- mikakati ya kukabiliana na adui/mshindani wako. Amemlazimisha mama kwenda maili nyingi. Ajiandae !
Mwendazake alikuwa mbabe mwisho akaishia ukingoni...The World is looking closely
 
Pesa ya walipa kodi zinatumika hovyo kukandamiza demokrasia kwa njia haramu za kishetani, wametumia gharama kubwa kumsafirisha mbowe tokea mwanza hadi huko Dsm kwenda kusachi nyumbani kwake ni Aibu iliyoje
Hio gharama bora wangewapa wanakijiji wangejenge hata vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa na mabeberu.
Mbowe si tishio zaidi kwa nchi watz wanajielewa.
Labda tu kama walimtumia mbinu ya kumsafirisha kupigia dili kuongeza cha juu kwenye gharama za usafiri,maana mswahili kwa dili ni sawa na mswaki na dawa.
Chadema sio tishio kwa nchi kama Hakuna uchaguzi,njia ya kuuwa upinzani waache waongee, usiku watalala.
Badala ya kupambana na tatizo la ajira wako bize na upinzani,ambao watakufa na watauacha.
 
Hayati alipowanyoosha hawa watu mlimvaa mkasema dikteta [emoji2]... Nyie hawa watu wana siasa za kitoto na chafuzi zisizovumilika!!! Demokrasia haiko kwa kiasi hiko bwana! Wala huyu bi mkubwa hapati laana yoyote lazima awanyooshe hawa watu kwa maslahi ya Taifa.
 
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
True mwendakombo ajawahi shinda chochote dunia hila bila kubebwa,phd alibebwa,ubunge alipiga figisu kupita bila kupingwa,udereva alipewa.
 
Hayati alipowanyoosha hawa watu mlimvaa mkasema dikteta [emoji2]... Nyie hawa watu wana siasa za kitoto na chafuzi zisizovumilika!!! Demokrasia haiko kwa kiasi hiko bwana! Wala huyu bi mkubwa hapati laana yoyote lazima awanyooshe hawa watu kwa maslahi ya Taifa.
Nani kakwambia upinzani ni tishio kwa usalama wa taifa nje ya wakati wa uchaguzi watz wanajielewa.
Sema kama mnataka kupigia dili kupitia gharama za kupambana na upinzani.
 
kumfungulia mbowe kesi ya ugaidi itakuwa wamemuonea sana, ilitakiwa apigwe kidogo au wamtengue mguu kisha wampe kesi nyepesi.
 
Nani kakwambia upinzani ni tishio kwa usalama wa taifa nje ya wakati wa uchaguzi watz wanajielewa.
Sema kama mnataka kupigia dili kupitia gharama za kupambana na upinzani.
Unajibu kitu ambacho sijakiandika [emoji2]
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Mabeberu gani walimpa mkopo,au unaongelea ADB.
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.

View attachment 1862953
Msihofu kwani hata Mandela aliwahi kutuhumiwa na kufungwa kama Gaidi lakini hata siku moja dhulma haishindi haki
 
Back
Top Bottom